FARE-?????Hebu fikiria Neymar Da Silva Santos Junior atakuwa analipwa 1.6 billion za kitanzania kwa wiki, zaidi ya million 220 za kitanzania kwa siku. Daaah shikamooni wazazi wote mliokuwa mnatukataza tusicheze mpira ili tukomae na vitabu vya kina Nyambari Nyangwine! Mwisho wa siku tunaishia kutumbuliwa tu....LIFE IS NOT FARE
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa broda..Pengine kama wangekuruhusu ucheze mpira ungeishia kuwa kama juma nyosso, haruna moshi 'boban',mario balotelli au adriano mutu au adriano wa brazil (teja).
Muhimu ni nidhamu, kujituma na kupambana mpaka tone la mwi8sho. Napenda kukumbusha kuwa bill gate, aliko dangote, rostam azizi au zuckerberg sio wachezaji mpira, You can be like them too if you have what it takes (commitment).
Sent using Jamii Forums mobile app