Ila wazazi Mungu anawaona...

Ila wazazi Mungu anawaona...

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,384
Hebu fikiria Neymar Da Silva Santos Junior atakuwa analipwa 1.6 billion za kitanzania kwa wiki, zaidi ya million 220 za kitanzania kwa siku. Daaah shikamooni wazazi wote mliokuwa mnatukataza tusicheze mpira ili tukomae na vitabu vya kina Nyambari Nyangwine! Mwisho wa siku tunaishia kutumbuliwa tu....LIFE IS NOT FAIR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu fikiria Neymar Da Silva Santos Junior atakuwa analipwa 1.6 billion za kitanzania kwa wiki, zaidi ya million 220 za kitanzania kwa siku. Daaah shikamooni wazazi wote mliokuwa mnatukataza tusicheze mpira ili tukomae na vitabu vya kina Nyambari Nyangwine! Mwisho wa siku tunaishia kutumbuliwa tu....LIFE IS NOT FARE

Sent using Jamii Forums mobile app
FARE-?????
 
Pengine kama wangekuruhusu ucheze mpira ungeishia kuwa kama juma nyosso, haruna moshi 'boban',mario balotelli, adriano mutu au adriano wa brazil (teja).
Muhimu ni nidhamu, kujituma na kupambana mpaka tone la mwisho. Napenda kukumbusha kuwa bill gate, aliko dangote, rostam azizi au zuckerberg sio wachezaji mpira, You can be like them too if you have what it takes (commitment).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pengine kama wangekuruhusu ucheze mpira ungeishia kuwa kama juma nyosso, haruna moshi 'boban',mario balotelli au adriano mutu au adriano wa brazil (teja).
Muhimu ni nidhamu, kujituma na kupambana mpaka tone la mwi8sho. Napenda kukumbusha kuwa bill gate, aliko dangote, rostam azizi au zuckerberg sio wachezaji mpira, You can be like them too if you have what it takes (commitment).

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa broda..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mpira wa bongo unataka kufananisha na ulaya?? anyway una uwezo wa kumwacha mwanao afanye hvyo afu uone matokeo yake.
 
Back
Top Bottom