Elections 2015 Ilani ya CCM 2015-2020 - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Ilani ya CCM 2015-2020 - Uchaguzi Mkuu 2015

nakubaliana na ilani ya ccm...na mabadiliko yapo......kwa utawala wao toka uhuru ...kiwango cha elimu kimeongeeka...hata tukiangalia kwa sasa wasomi ni wengi saana....vyuo vikuu wanafika wengi sio kama zamani wanahesabika

msipende kulaumu watanzania..........mbona...hamtaji mazuri ya ccm.....nnauhakika hata wewe ccm imekutoa sehemu flani mpaka sehemu flani...tujaribu kufikiria pia...tusipende mikumbo haisaidii kituhii ni kwa ajili ya maisha yetu ya baadae....uchague kiongozi bora 78.jpg79.jpg
 
Hizo ndio zinawapatia pesa za kupiga mathalani wakiona baiskeli ni nyingi kodi inapenyezwa ili mradi wamkamue mlala hoi wakati wenye nazo wanagawana nao kweli maji hufuata mkondo
 
sio siri magufuli kachanganyikiwa.
anamchana JK na CCM live na hiyo ni sababu tosha ya kuikataa ccm kwakuwa mgombea wao amesadiki kuwa wanafanya mambo ya hovyohovyo.
 
Miaka 50 bado unatoa ahadi badala ya kuonyesha matunda nimeamini sasa nchi ina wajinga wengi sana
 
sio siri magufuli kachanganyikiwa.
anamchana JK na CCM live na hiyo ni sababu tosha ya kuikataa ccm kwakuwa mgombea wao amesadiki kuwa wanafanya mambo ya hovyohovyo.

Ukisikiliza sera za ccm unaweza ukadhani labda hawajawahi kuongoza i nchi
 
Kuna wajinga humu ndani wanashindwa tofauti serikali na Ccm ni nini. Wanadhani bila ccm hakuna serikali. My point ni CCm ni Chama ambacho tumekipa madaraka ya kusimama serikali kwa miaka 50 naa sasa. Lakini ukiangalia utaona kuwa wametunyonya zaidi katika usimamizi wao. Maisha yao na familia zao niya kifalme ukilinganisha na maisha ya walio wengi. Inawezekana kama Chama cha upinzani kikipewa hii kazi kitafanya kazi nzuri zaidi kwa haki na usawa. Sio watoto wa wakubwa kama kina Lizboy kuwa matajiri katika kipindi cha muda mfupi.
 
Tatizo ni kwamba maccm hayana habari kuwa kila mtu keshawachoka. Hata Mzee Mkapa keshachoka kuliko Pinda. Wameishiwa serz na kupoteza mvuto. Ndo maana watanyima hata mikutano ya UKAWA kufanyika. Mamilioni yoote yale ya kuwalipa majimama yale yaso na haya tena, yaliokatishwa tamaa na maisha magumu kwenda kuwalaani wazee pale jukwaani ati hiyo ndo sera ya chama. Laiti Mola angefufua watu. Mwl. Akajionea yanayotendwa na chama alicho kiasisi
 
Wasanii hawa CCM. Kila miaka mitano wanabadilisha maneno kushawishi watu wakati utekelezaji zero. Rushwa ndani imekidhiri. Hivi kipindi ambacho tuna chama kimoja..!! Hawa CCM waliiba kiasi gani..?
a
d
 
Watanzania tusipokubali kubadilika kifikra,hatuwezi kubadilika kiuchumi.
 
HUU NDIO UKWELI HALISI ULIOPO KWA SASA HIVI,
**CCM TUMEWAZOEA NYIMBO NI ZILEZILE TU,
SERA NI ZILEZILE TU;-
*maji
*elimu
*mahospitalini
*kilimo
*madini yetu
*ajira
VYOTE HIVI VIMESHAHUBIRIWA KWA ZAIDI YA MIAKA 50!
WAKATI HUO VIKIWA VINAJULIKANA KAMA MAADUI ZETU!
GO! GO! AWAY CCM
ENOUGH IS ENOUGH!
**CHANGES IS A MUST**
 
CCM bhana. Halafu eti mgombea wao this time hataki chopa. Usanii mwingine. Wanaendelea kutufanya wapumbavu na malofa.
 
HUU NDIO UKWELI HALISI ULIOPO KWA SASA HIVI,
**CCM TUMEWAZOEA NYIMBO NI ZILEZILE TU,
SERA NI ZILEZILE TU;-
*maji
*elimu
*mahospitalini
*kilimo
*madini yetu
*ajira
VYOTE HIVI VIMESHAHUBIRIWA KWA ZAIDI YA MIAKA 50!
WAKATI HUO VIKIWA VINAJULIKANA KAMA MAADUI ZETU!
GO! GO! AWAY CCM
ENOUGH IS ENOUGH!
**CHANGES IS A MUST**

EXCELLENT! Katika kushindwa kwa 100% ni ktk elimu. Wafute kabisa kauli ya kuleta elimu bora. Leo hii wameamua kuwaweka wazi watanzania kwa kuwapa jina lao sahihi "malofa" maana wamewazalisha wenyewe kupitia mifumo ya elimu mibovu ya shule za kata bila walimu wala resources, wanafunzi 100 chumba kimoja s/msingi wakiwa wamekaa chini, mikopo elimu ya juu kiza kinene nk. Bado unakuta mtu anashabikia ccm ; we si ndo lofa kweli!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom