suleiman ngosha
Member
- Jul 12, 2015
- 13
- 6
Hapo mwisho wa maelezo nauna nae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili zako ni sawa na kuku,jiongeze acha kuongea ujinga ukweli huko wazi kwambaMungu wangu,yale yale,pumbavuuuuuu hata mngeahd kila mwananch mtamnunulia Mel mwaka mtachambi jambia
Mimi Nasema hivi.Mnielewe na nazidi kusema Hivi tena kwa herufi kubwa"SINA HAJA NA SERA YA CHAMA CHA SIASA NA SITASIKILIZA SERA YOYOTE,CCM KWANZA NJE OCT.2015 SERA BAADA YA HAPO."
Nimejiuliza hizi kodi za hovyohovyo zimewekwa na nani? Si ni wao wamekuwa wakiendesha nchi kwa zaidi ya miska 50?
Pia kwa nuni wasizitoe sasa? Kwa nini wasubiri huku wakijua ni za hovyohovyo? Kwa nini wasipige marufuku leo hizo kodi za hovyohovyo? Hii ni kuwakebehi watanzania!