Elections 2015 Ilani ya CCM 2015-2020 - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Ilani ya CCM 2015-2020 - Uchaguzi Mkuu 2015

Tukiacha mipasho, vijembe na zomea zomea pamoja na minenguo ya burudani nzuri, haya ndo mambo yatakayo mpaisha Dr John Pombe Magufuli.

Issues za JP Magufuli in Summary:
1. Umoja wa Taifa
2. Kulinda Muungano wa Tanzania.
3. Ulinzi na usalama
4. Kuheshimu mihimili ya Dola.
5. Mahakama maalum ya mafisadi na majizi
5. Utawala bora
7. Ataheshimu mawazo yote ya kuleta maendeleo hata yakitoka upinzani
8. Ataimarisha vyombo vya usalama
9. Vita dhidi ya ubadhirifu
10. Kodi ilipwe na wote
11. Ataongeza ajira kwa kuimarisha viwanda
12. Sekta ya kilimo itaimarishwa
13. Sekta ya mifugo itaimarishwa ili iwe na tija kwa kujenga viwanda
14. Madini yatadhibitiwa ili yalete maendeleo
15. Maji yatapelekwa Vijijini na mijini
16. Zahanati kila kijiji, Hospitali ya rufaa kila mkoa, kuboresha maslahi ya wauguzi
17. Elimu bure hadi kidato cha nne, nyumba za walimu zitajengwa.
18. Wanafunzi wa vyuo vikuu, atahakikisha mikopo inakwenda mapema ili wasome
19. Kujenga hostel za mwana vyuo
20. Maslahi ya watumishi, kila mtu anayefanya kazi atapata haki yake.
21. Gesi itasimamiwa vyema ili isaidie nchi
22. Barabara zitaboreshwa, flyovers kujenga ya kwanza salander, tazara
23. Msongamano Dsm utashughulikiwa
24. Reli itajengwa upya
25. Bandari, anga zitaboreshwa
26. Maslahi ya maliasili yataboreshwa ili watalii wengi waje ili tupate pesa
27. Serikali itakuwa rafiki kwa wawekezaji wenye nia njema
28. Maslahi ya wafanyakazi yatalindwa
29. Walemavu watalindwa na haki zao zitalindwa
30. Uhuru wa Habari utalindwa na atakuwa na waandishi karibu
31. Wasanii na wanamichezo haki zao zitalindwa, kutakuwa na Mfuko maalum kwa ajili hiyo
32. Reli ya Dar itajengwa

UKAWA waje na mbadala tuone.
Mkuu Magufuli ni nouma,yaani ukimwaangalia hata usoni unaona ni kweli anayoyasema yanatoka moyoni,na ameonea kwa ufasaha mkubwa ,wale waliokuwa wanasema sijui anajua kuimba Alimselema tu watafute lingine,sera zimeelezwa kwa ufasaha wa hali wa juu ,kwa Magufuli kweli CCM imelamba dume,ngoja tusubili na hawa wengine sijui watasema kipi ambacho Magufuli hajakieleza labda watazungumzia kuwa ''wamekatwa''au wanataka mabadiliko bila kueleza hayo mabadiliko mapya ni yapi,pia tunatakakusikia jinsiwanavyochukia umasikini na njia zake mbadala,naomba Tanesco siku hiyo wahakikishe umeme hata wa gesi asili unawashwa ili tusikie Mheshimiwa sana akisema anachukia UFISADI,huku uso ukimsaliti.
 
Wacha mihemko we ndugu mimi ni gamba lakini ebu angalia hii santuri si ni ya miaka yote? Tangulini sisi na utekelezaji ? Tukomeni kuwadanganya masikini wa taifa hili .
Mkuu hujawahi kwa teksi toka Mtwara hadi zbukoba weye.
Inaelekea mtu wa town, born here here, die here here��������
 
nikikumbuka maisha bora kwa kila mtanzania mwaka 2005, nazidi kupata hasira kwanini wanadanganya mchana kwetu huku barabara imewekwa lami 1km kati ya 46km bukoba walihaidi meli kubwa kuliko mv bukoba lkn imebaki stori
 
Kama kuna kosa CCM wamefanya ni kutokutueleza Utekelezaji wa Ilani ya 2010-2015.

Mwenye softcopy ya Ilani ya CCM ya mwaka 2015-2020 aweke hapa

Asanteni
 
Sidhani kama wataitoa tena nje maaana wameona wananchi wamewastukia hahahahahaha
 
hiyo ilani wamempa dogo polepole wakiamini atawaokoa haaahaaaa...choo.cha kike.....wataipata this time....tumesha amua ni lowasa tu.
hata wamlete 50cent aje kuimba.
 
The ruling party presidential flag-bearer, Dr


In Summary
CCM says will continue with execution of the already set plans and development vision

By Athuman Mtulya The Citizen Reporter
Dar es Salaam. The ruling party presidential candidate John Pombe Magufuli is set to drive a continuity agenda on his campaign trail that commences on Saturday, the CCM Manifesto shows.

The CCM election manifesto (2015-2020) categorically states that CCM aims to continue with the execution of the already set plans and vision for development.

“This manifesto has been penned in line with the nation’s Development Vision 2025 and CCM’s 2010-2020 policies which both aim at bringing about sustainable development for Tanzanians in the said time-frame,” reads the document’s preamble in part.

The manifesto has outlined and celebrated achievements registered by President Jakaya Kikwete’s government from 2005 to 2010 in all sectors and then mentioned areas which were not achieved and how the next government will go about sorting them in the next five years if Dr Magufuli is to be elected president.

In the economic outlook, CCM takes pride on its government for a number of things including an annual seven per cent growth GDP, monthly growth of domestic revenues from Sh390 billion in 2010 to Sh850 billion 2014/15, cutting donor dependency in funding national budget from 42 per cent in 2005 to eight per cent in 2015/16 and maintaining inflation rate at single digit from 19.8 per cent in December 2011 to 4.8 in December 2014 to 4.3 in March.

In the same sector, the CCM government promises to stabilise the local currency.

In Agriculture, although President Kikwete recently conceded that his government did not do enough to take the sector to the next level, the manifesto mentions a number of areas in which there was success. The document says it will continue executing the Agricultural Sector Development Programme-ASDPII and all projects in the Big Results Now (BRN) initiative.

The party also conceded that history suggests that there have been partial follow-ups of how the manifesto pledges are executed. It said the current set-up only leaves it to lawmakers to query the execution of manifesto.

“From 2015 to 2020 the party through its meetings will fully enquire on the development of projects promised in the manifesto.

Alternatively the best way of scrutinising the execution is for party leaders to pay a visit to the promised projects. This is the only way we can hold the government that is formed by CCM accountable,” reads the manifesto.

WAPI KOPI YAKE👆🏿👆🏿👆🏿???
 
KUTUPWA KWA HITAJI LA KATIBA MPYA NDANI YA ILANI YA CCM YA 2015.

chama cha mapinduzi kimeendelea kuiduwaza dunia.

ikumbukwe hoja ya katiba mpya ilikuwa ya wapinzani. Kikwete na ccm wakaidandia. Waliendelea kuwahakikishia watanzania kuwa katiba mpya lazima itapatikana na ingepigiwa kura mwezi wa nne. Wakaonywa vikali kuwa hilo halitawezekana. Wakaja mbele ya vyombo vya habari kuiambia dunia kuwa hilo lazima litafanyika na kila kitu kinaenda vyema.Walipokwama wakasema kura hiyo ingepigwa mwezi wa saba. Nalo likapita bilabila. Wakaja na ngonjera nyingine kuwa katiba mpya itapigiwa kura kwa pamoja na uchaguzi mkuu. Kiko wapi? Je tuendelee kuwaamini kwa mnayotuahidi leo? kila mtu ataamua.

ilani YA CCM@

katika ilani ya CCM hakujazungumzwa swala lolote linalohusu katiba mpya.

hii inaonyesha jinsi CCM kupitia mkuu wa nchi walivyofanya hadaa na usanii kwa watanzania.Wameamua kulitupilia mbali kabisa swala la katiba mpya. Je katiba mpya na mambo yote ya msingi yaliyopendekezwa na watanzania hayana maana tena? CCM imeyumba na imepotoka sana katika hili na ni aibu kwa Mwenyekiti ya CCM aliyeapa kuliachia taifa katiba mpya kupitia Madaraka yake ya Urais na sasa anaondoka na kuzika kabisa swala la katiba mpya kwa kuwa hakuruhusu liingie katika ilani. Nasema hivi kwa kuwa ,haiwezekani Rais atuhakikishie watanzania kupata katiba mpya lakini akiwa ndani ya chama asione umuhimu wa katiba mpya kuwekwa katika ilani ya chama chake. Timu uliyounda ilani ile nayo inaingia lawamani.

Hiki ni kituko katika awamu hii ya nne na misimamo ya watawala
 
Last edited by a moderator:
Issues za JP Magufuli;1. Umoja wa Taifa2. Kulinda Muungano wa Tanzania. 3. Ulinzi na usalama4. Kuheshimu mihimili ya Dola. 5. Mahakama maalum ya mafisadi na majizi5. Utawala bora7. Ataheshimu mawazo yote ya kuleta maendeleo hata yakitoka upinzani8. Ataimarisha vyombo vya usalama9. Vita dhidi ya ubadhirifu10. Kodi ilipwe na wote11. Ataongeza ajira kwa kuimarisha viwanda12. Sekta ya kilimo itaimarishwa13. Sekta ya mifugo itaimarishwa ili iwe na tija kwa kujenga viwanda14. Madini yatadhibitiwa ili yalete maendeleo15. Maji yatapelekwa Vijijini na mijini16. Zahanati kila kijiji, Hospitali ya rufaa kila mkoa, kuboresha maslahi ya wauguzi17. Elimu bure hadi kidato cha nne, nyumba za walimu zitajengwa. 18. Wanafunzi wa vyuo vikuu, atahakikisha mikopo inakwenda mapema ili wasome19. Kujenga hostel za mwana vyuo20. Maslahi ya watumishi, kila mtu anayefanya kazi atapata haki yake. 21. Gesi itasimamiwa vyema ili isaidie nchi22. Barabara zitaboreshwa, flyovers kujenga ya kwanza salander, tazara23. Msongamano Dsm utashughulikiwa24. Reli itajengwa upya25. Bandari, anga zitaboreshwa26. Maslahi ya maliasili yataboreshwa ili watalii wengi waje ili tupate pesa27. Serikali itakuwa rafiki kwa wawekezaji wenye nia njema28. Maslahi ya wafanyakazi yatalindwa29. Walemavu watalindwa na haki zao zitalindwa30. Uhuru wa Habari utalindwa na atakuwa na waandishi karibu31. Wasanii na wanamichezo haki zao zitalindwa, kutakuwa na Mfuko maalum kwa ajili hiyo32. Reli ya Dar itajengwa
[COLOR=rgba(0, 0, 0, 0.45098)]⁠⁠⁠⁠20:36⁠⁠⁠⁠⁠

[/COLOR]

⁠⁠[8/23/2015, 20:42] Middo: ⁠⁠⁠MAGUFULI:1: NIA NA KIU KUBWA YA WATANZANIA NI MABADIRIKO (TRANSFORMATION)2: SHIDA NA MATARAJIO YENU NINAYAJUA NA NINA UWEZO WA KUYATATUA3: NAJUA MNAHITAJI MAISHA MAZURI, AMANI, USALAMA, KUKOMESHWA RUSHWA WIZI NA UBADHILIFU. HAYO NDIYO MABADIRIKO NA NIMEJIANDAA KWA HILO.4: MNATAKA HUDUMA ZA ELIMU NA AFYA5: MNATAKA AJIRA. UMASIKINI UMEPUNGUA KUTOKA 36-24.2%6: MNATAKA MSIKOPESHE SERIKALI, KUONDOA MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFANYAKAZI7: MASILAHI MAZURI KWA WAFANYAKAZI, HAKI KWA WASANII NA WANAMICHEZO. SITAWATUMIA WAKATI WA SIASA TU BALI KWA AJILI YA MAENDELEO.8: NINAOMBA URAIS ILI KULETA MABADIRIKO YA KWELI KWA WATANZANIA9: UMOJA WA KITAIFA, NA UMOJA WA WATANZANIA, HAKUNA UKABILA, HAKUNA UKANDA. 10; NITAJENGA UTANZANIA NA MUUNGANO.11: DOSALI NDOGONDOGO TUTAZIONDOA12 : BUNGE LITASIMAMIA SERIKALI 13: MAHAKAMA HAITAINGILIWA. MAFISADI NA MAJIZI YATAKUWA NA MAHAKAMA YAO. NITAKULA NAO SAHANI MOJA WAJUE TZ NI MAHALI PA MAENDELEO YA WANYONGE14: MAWAZO YA VYAMA VINGINE NITAYAHESHIMU.15: NITAIMARISHA MAJESHI NA KUWAPATIA ZANA ZA KISASA. NITABORESHA MISHAHARA NA NYUMBA ZAO.16: NITAIMARISHA UTAWALA WA SHERIA17: KODI ILIPWE NA WOTE , WAKUBWA NA WADOGO.18: AJIRA ITAONGEZEKA.19: KUIMARISHA SEKTA YA VIWANDA ILI IONGEZE AJIRA KAMA VYA SAMAKI ILI KUDHIBITI WIZI WA SAMAKI. TUTABORESHA HUDUMA KWA WAWEKEZAJI WANAOSUMBUA WAWEKEZAJI WATAFUTE MAHALI PA KUISHI.20: TANZANIA YA MAGUFULI ITAKUWA YA VIWANDA. WASIOENDELELEZA VIWANDA WAJIANDAE KUVIRUDISHA21: TUTAENDELEZA KILIMO. BENKI IMEANZA, TUTAWALETEA PEMBEJEO KWA KUWA TUTAKUWA NA VIWANDA VYA KUTENGENEZA ZANA NA PEMBEJEO.22: SEKTA YA MIFUGO ITAJENGEWA VIWANDA VYA NYAMA NA MAZIWA.23: VIWANDA VYA UVUVI VITAJENGWA 24: MADINI NA WACHIMBAJI WADOGOWADOGO. TUTAFAIDI TANZANITE YETU. TUTANGALIA TUNDU LA UPENYO WA KUPOTEZA MAPATO YA MADINI.25: AFYA NA MAJI VITAIMARISHWA.WATU TOKA NJE WAJE KUTIBOWA HAPA.26: ELIMU BURE TANGU DRS1 - kidato cha4, NA TUTAJENGA nyumba za WALIMU NA WATUMISHI WOTE.Hapa Shemeji unatuachaje itaisha27: MIKOPO KWA WANAFUNZI INAWAHIASHWA.WANAOKOPA WASIFANYE BIASHARA BALI WASOME. MASLAHI YA WALIMU HAKI ZA MADEREVA LAZIMA ZILINDWE.28: NISHANI YA GESI ITATUSAIDIA KUJENGA VIWANDA VYA MBOLEA.29: BARABARA: FLYOVER ZITAJENGWA, BARABARA YA NJIA SITA MPAKA MORO NA FLY OVER SABA. 30: WANAHABARI WATAKUA NA CHOMBO CHAO.31: DAR ITABADILISHWA. RELI YA DAR ITAJENGWA, RELI YA KATI ITABORESHWA.32: VIWANJA VYA NDEGE VITAIMARISHWAUTALII UTAIMARISHWA.33: CHINA INAHESHIMIKA KWA MABADIRIKO . IMEFIKA HAPO BILA KUBADIRISHA CHAMA CHA KIKOMUNISTI34: TUTATENGENEZA SERIKALI YA WATU. SIYO SERIKALI YA KUTENGENEZA MCHAKATO WAZIRI ATAKAYECHAKATA ATAPOTEZA UWAZIRI.
tunaimani nae na tutanyooka ......kidumu chama cha mapinduzi!!!

 
Teh teh teh ukawatajia katiba mpya MACCM ni kama unawalazimisha kuja.mba hadharani.

Wao wanampango wa kutununulia sisi waalimu laptop mpyaaaaa kotoka china,
alafu watugawie vijiji vyote nchini mil50 "TZS" kwa kila kijiji (vijiji 12,000 * 50,000,000 = 600,000,000,000 i.e bil 600),
alafu wakimaliza watujengee kiwanda cha samaki teh teh teh (huku Kanda ya ziwa tunakula mapanki),
alafu wakimaliza wawagawie wachina gesi na mafuta ya nchi hii,
alafu wakimaliza wazindue vyoo tutakavyojengewa na wachina kwa thamani ya mabilioni,
alafu wakimaliza tuwapigie makofi na kuimba iyena iyena,
na wao wahitimishe kwa kutuita sisi WAPU.MBAVU na MAL.OFA.
 
Watanzania tunakiu ya maendeleo, tumepiga hatua tangu tulipopata uhuru lakini hatujafika tunapotakiwa kufuka. Bado tuna Imani na Mgomba Urais kwa tiketi ya CCM kutokana na utendaji kwazi wake ambao kila mtanzania ni shahidi kua amekua mfuatiliaji mzuri kwenye kila wizara aliyokua. Vipaumbele hivo sina hata chembe ya shaka kwa sababu nina amini atatekeleza kama alivyowahi kufanya wizara alizokuepoa. Tunahitaji mabadiliko na Magufuli yupo tayari kutuletea mabadiliko hayo kama alivyo yaainisha hapo tu. Tunaimani na CCM, Tunaimani na Magufuli.
 
Back
Top Bottom