Uchaguzi 2020 Ilani ya CCM ya 2020 inataka kujenga uwanja mwingine Dodoma?

Uchaguzi 2020 Ilani ya CCM ya 2020 inataka kujenga uwanja mwingine Dodoma?

Yaan mtukuona watu wengi wameletwa na Malory akatengeneza hapohapo ilani ya kujenga uwanja,Kingunge alisema msichague mnyampala wa Barabara na majengo
 
Kwa akili kama hizi ndio mtu anaamua kununua vitu ambavyo havina manufaa kwa nchi kwani yeye anaangalia interests zake sio za umma.
Mpaka leo huwa najiuliza hivi kuna safari za ndege za kibiashara (commercial flights) katika uwanja wa ndege wa Chato?
 
Back
Top Bottom