Pangamalasy
Senior Member
- Jun 5, 2020
- 127
- 110
Yaan mtukuona watu wengi wameletwa na Malory akatengeneza hapohapo ilani ya kujenga uwanja,Kingunge alisema msichague mnyampala wa Barabara na majengo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zimeliwa!Hivi yule mfalme wa morocco hakuleta pesa za uwanja
Mpaka leo huwa najiuliza hivi kuna safari za ndege za kibiashara (commercial flights) katika uwanja wa ndege wa Chato?Kwa akili kama hizi ndio mtu anaamua kununua vitu ambavyo havina manufaa kwa nchi kwani yeye anaangalia interests zake sio za umma.
Hahaaa..... HaswaaHata hiyo familia kuna kushauriana kabla ya maamuzi makubwa.