P Pangamalasy Senior Member Joined Jun 5, 2020 Posts 127 Reaction score 110 Aug 30, 2020 #21 Yaan mtukuona watu wengi wameletwa na Malory akatengeneza hapohapo ilani ya kujenga uwanja,Kingunge alisema msichague mnyampala wa Barabara na majengo
Yaan mtukuona watu wengi wameletwa na Malory akatengeneza hapohapo ilani ya kujenga uwanja,Kingunge alisema msichague mnyampala wa Barabara na majengo
G Gellangi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2016 Posts 2,782 Reaction score 3,018 Aug 30, 2020 #22 Benny Haraba said: Hivi yule mfalme wa morocco hakuleta pesa za uwanja Click to expand... Zimeliwa!
Ileje JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 9,524 Reaction score 13,682 Aug 30, 2020 Thread starter #23 Nyanjomigire said: Kwa akili kama hizi ndio mtu anaamua kununua vitu ambavyo havina manufaa kwa nchi kwani yeye anaangalia interests zake sio za umma. Click to expand... Mpaka leo huwa najiuliza hivi kuna safari za ndege za kibiashara (commercial flights) katika uwanja wa ndege wa Chato?
Nyanjomigire said: Kwa akili kama hizi ndio mtu anaamua kununua vitu ambavyo havina manufaa kwa nchi kwani yeye anaangalia interests zake sio za umma. Click to expand... Mpaka leo huwa najiuliza hivi kuna safari za ndege za kibiashara (commercial flights) katika uwanja wa ndege wa Chato?
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,263 Sep 2, 2020 #24 Kiranga said: Hata hiyo familia kuna kushauriana kabla ya maamuzi makubwa. Click to expand... Hahaaa..... Haswaa
Kiranga said: Hata hiyo familia kuna kushauriana kabla ya maamuzi makubwa. Click to expand... Hahaaa..... Haswaa