Ilani imejaa porojo, kama hii ndio ilani ya Chadema kamwe sitowapatia kura yangu:
1) Wanapunguza VAT mpaka 16% na kuondoa VAT kila sehemu bila kueleza gharama za kuendeshea serikali na maendeleo zitapatikanaje?
2) Watapitia upya mikataba ya ubinasoshaji, wakati Katibu wao Zitto alikuwemo kwenye mapitio yaliyopita, hivi hawamuamini?
3)Bajeti ya elimu kutoka18% - 35%, na huku wanfuta na kupunguza VAT, hiliongezeko litatoka wapi?
4) Hawaja eleza chochote kama Chadema wanasupport au wanapinga nchi kujiunga na OIC au Kadhi court.
5) Ilani imekaa kienyeji enyeji, iko kama Bible!, Kwanini kura yangu niipe Chadema?
Huo ni mtazamo wako. si sawa kusema viongozi hao ni wabovu kwa kila mtu. Wanachama wa CHADEMA wamewakubali wewe utasemaje wabovu? Thibitisha ubovu wao kama wewe ni mkweli. Au wewe ni miongoni mwa akina Kafulila?
Ilani imejaa porojo, kama hii ndio ilani ya Chadema kamwe sitowapatia kura yangu:
1) Wanapunguza VAT mpaka 16% na kuondoa VAT kila sehemu bila kueleza gharama za kuendeshea serikali na maendeleo zitapatikanaje?
2) Watapitia upya mikataba ya ubinasoshaji, wakati Katibu wao Zitto alikuwemo kwenye mapitio yaliyopita, hivi hawamuamini?
3)Bajeti ya elimu kutoka18% - 35%, na huku wanfuta na kupunguza VAT, hiliongezeko litatoka wapi?
4) Hawaja eleza chochote kama Chadema wanasupport au wanapinga nchi kujiunga na OIC au Kadhi court.
5) Ilani imekaa kienyeji enyeji, iko kama Bible!, Kwanini kura yangu niipe Chadema?
Ala! kumbe wanachama wakiwakubali wanakuwa bora? basi JK ni bora kwasababu wamemkubali wananchi wa Tanzania..ndio line of thinking!
Nathibitisha ni wabovu kwasababu zifuatazo
a) Mbowe amekuwa mwenyekiti bila kufuata demokrasi (undugunization na club of business people) sitegemee chochote kwa watanzania zaidi ya loyality kwa elites wa chadema ambao bahati mbay ni wachaga na wafanyabiashara wanaotengeneza business network. Pili elimu yake inatia mashaka hajasoma (kihiyo), tatu hana mkakati wowote zaidi ya kuongelea ufisadi huo ndi wimbo anaoufahamu period! chama ni zaidi ya wimbo huo
b) Slaa ni sawa na sumaye kiburi na dharau, above all elimu ya kuendesha kanisa (church management) ameipeleka kwenye chama anashirikiana na mbowe kuendeleza ukatoliki wao...Slaa ni mlalamisha anafaa huko huko karatu aendelee kulalama kitaifa ana hoja yoyote.
Tumain hujathibitisha chochote hizo ni hints au outlines tu siyo facts umesema mfano
undugunization and club of business how? tupe NEC ya Chadema tuione au viongozi wake wa juu
umesema Mbowe hajasoma tupe data
umesema Chadema haina mkakati wowote is it true huo wa ufisadi ulioutaja ni nini unahabari huo ndio unaoichambua CCM
umesema Slaa na Mbowe wanaendesha ukatoliki na uchaga hizi issue mbona zimeshapitwa na wakati wananchi walishazipuuza hata hao CCM siku hizi hawazitumii tena
wewe leta facts tutajadili hapa hapa kama ni za ukweli tutazipima zikionekana ni za uzushi tuta zi reject
Unataka kudhibitisha nini kwenye undunization je siyo kweli kwamba mbowe akishirikiana na ndugu zake walimzuia zitto asigombee japo ki-katiba alikuwa na haki? elimu hana amefeli shule nyie ndio wakutuambia amesoma wapi?
Kuhusu Slaa unataka uthibitisho gani? Je si Kweli kwamba Zitto ni unwanted product chadema kwasababu ya dini yake? na slaa anashirikiana na kanisa kuhakikisha hafurukuti muislamu huko agh! hatudanganyiki
Unataka kudhibitisha nini kwenye undunization je siyo kweli kwamba mbowe akishirikiana na ndugu zake walimzuia zitto asigombee japo ki-katiba alikuwa na haki? elimu hana amefeli shule nyie ndio wakutuambia amesoma wapi?
Kuhusu Slaa unataka uthibitisho gani? Je si Kweli kwamba Zitto ni unwanted product chadema kwasababu ya dini yake? na slaa anashirikiana na kanisa kuhakikisha hafurukuti muislamu huko agh! hatudanganyiki
Ala! kumbe wanachama wakiwakubali wanakuwa bora? basi JK ni bora kwasababu wamemkubali wananchi wa Tanzania..ndio line of thinking!
Nathibitisha ni wabovu kwasababu zifuatazo
a) Mbowe amekuwa mwenyekiti bila kufuata demokrasi (undugunization na club of business people) sitegemee chochote kwa watanzania zaidi ya loyality kwa elites wa chadema ambao bahati mbay ni wachaga na wafanyabiashara wanaotengeneza business network. Pili elimu yake inatia mashaka hajasoma (kihiyo), tatu hana mkakati wowote zaidi ya kuongelea ufisadi huo ndi wimbo anaoufahamu period! chama ni zaidi ya wimbo huo
b) Slaa ni sawa na sumaye kiburi na dharau, above all elimu ya kuendesha kanisa (church management) ameipeleka kwenye chama anashirikiana na mbowe kuendeleza ukatoliki wao...Slaa ni mlalamisha anafaa huko huko karatu aendelee kulalama kitaifa ana hoja yoyote.
Ala! kumbe wanachama wakiwakubali wanakuwa bora? basi JK ni bora kwasababu wamemkubali wananchi wa Tanzania..ndio line of thinking!
Nathibitisha ni wabovu kwasababu zifuatazo
a) Mbowe amekuwa mwenyekiti bila kufuata demokrasi (undugunization na club of business people) sitegemee chochote kwa watanzania zaidi ya loyality kwa elites wa chadema ambao bahati mbay ni wachaga na wafanyabiashara wanaotengeneza business network. Pili elimu yake inatia mashaka hajasoma (kihiyo), tatu hana mkakati wowote zaidi ya kuongelea ufisadi huo ndi wimbo anaoufahamu period! chama ni zaidi ya wimbo huo
b) Slaa ni sawa na sumaye kiburi na dharau, above all elimu ya kuendesha kanisa (church management) ameipeleka kwenye chama anashirikiana na mbowe kuendeleza ukatoliki wao...Slaa ni mlalamisha anafaa huko huko karatu aendelee kulalama kitaifa ana hoja yoyote.
CHADEMA should be CHADEMA-IOD... IOD being In our dreams. Hiki chama bado kinahitaji some brains...manpower or brain power rather bado ndogo but hopefully in another 10 years, kitakuwa mbali. Until then..No thank you.

He he he..Kibaraka wa kitanzania..Wala sishangai kwani siku zote mti wenye matunda ndo unatupiwa mawe..Mbowe ni jabali ,Slaa ni hero ndio maana wanakunyima usingizi...lol
reason no.1 and 3 naweza kusema kuna mantiki pale to be debated kuongeza vat au kupunguza vat hakufanyi serikali kuwa na mapato mengi unaweza ukaongeza vat ukawafanya walipa vat aidha washindwe kufanyabiashara na kukimbiza wawekezaji au ukawafanya wakwepe ulipaji wake na ku create tatizo lingine la rushwa
kuhusu bajeti ya elimu kutoka 18% hadi 33% si kwamba ongezeko la bajeti litatoka wapi pesa ya bajeti inaweza kuwa ni ile ile ila elimu kupewa kipaumbele zaidi first priority mfano rahisi wa hesabu kama una bajeti ya sh.100 (15+40+45=100) na(10+30+60=100) hapa bajeti ni ileile ya sh 100 lakini umebadili tu mgawanyo
Anaweza kuwa jabali kwako lakini kwangu hata sifa ya udongo mlaini hajafikia
Anaweza kuwa hero kwako lakini kwangu mimi mlalamishi na mpiga domo
Tumaini,Ilani inaandikwa na wanazuoni kwa malipo maalum hatimaye kuriziwa na chama..hivyo kwa vyovyote "itakuwa nzuri sana" kwasababu wasomi wameandaa (profesionals)
Ilani nzuri chini ya viongozi wabovu (Mbowe na Slaa) wabinafsi na wasio na uwezo wa kuongoza na kuhamasisha wananchi ni sawa na kitabu kizuri kwa watu wasiojua kusoma...
Sioni na kama kwa aina ya viongozi waliopo huko chadema kutakuwa na kipya sana sana ni club tu ya networking..poleni sana
MMJ,Asante sana.. ngoja tuipitie .. ila huu mwaka mmoja tu uliobaki.. wanatarajia kuwa na ilani hiyo hiyo mwaka huu maana hawakutekeleza ilani yao ya 2005 (kwa sababu hawakushika serikali).. so sidhani kama tunaweza kuwapima.
Ulitaka kujibu swali 1 na 2 lakini bado unanipa wasiwasi pia kuhuisu wafuasi wa chadema wasivyo kua makini nadhani wengi bado ni wafuata upepo, kabila au dini unao ongozwa na chadema.
Mmeshindwa kabisa kujaribu kujibu (3 and 4) inanithibitishia chadema wanakimbia na hawaelewi kero ya jamii, pamoja kua Slaa aliahidi hapa jf kuwa swala la OIC na kadhi court atalitolea ufumbuzi kwenye ilani ya 2010 lakini swala hilo kaliepa, SHAME!!!!
Chadema watfuatilia mikataba, wakati ZITTO alikua mjumbe kwenye ufuatiliaji wa kwanza, lakini wenye kampuni ya chadema hawakumuamini kwa hiyo wataunda tume ingine, SHAME!!!!
Wataongeza bajeti ya elimu, wewe unatetea unasema (bajeti ya sh.100 (15+40+45=100) na(10+30+60=100) hivi uelewi maana ya kuengeza bajeti ninini? hiyo unayosema wewe ni piriotised bajeti, sasa ni sehemu zipi kwenye elimu chadema watapunguza? SHAME !!!
Watapunguza VAT,(hakuna figa za kitaalam kiasi gani kitaathiri pato) wata ongeza pato la serikali kwa njia gani ili kuongeza bajeti ya elimu?
Mi sio member wa Chama chochote nataka ku vote, you have the last chance to convince me, kwanini ni vote chadema? kuna ilani ingine au ni huu usaniii ?