Ilani imejaa porojo, kama hii ndio ilani ya Chadema kamwe sitowapatia kura yangu:
1) Wanapunguza VAT mpaka 16% na kuondoa VAT kila sehemu bila kueleza gharama za kuendeshea serikali na maendeleo zitapatikanaje?
2) Watapitia upya mikataba ya ubinasoshaji, wakati Katibu wao Zitto alikuwemo kwenye mapitio yaliyopita, hivi hawamuamini?
3)Bajeti ya elimu kutoka18% - 35%, na huku wanfuta na kupunguza VAT, hiliongezeko litatoka wapi?
4) Hawaja eleza chochote kama Chadema wanasupport au wanapinga nchi kujiunga na OIC au Kadhi court.
5) Ilani imekaa kienyeji enyeji, iko kama Bible!, Kwanini kura yangu niipe Chadema?