Ilboru Personality. Msije kuwashangaa wana Ilboru kuwa na utamaduni tofauti

Ilboru Personality. Msije kuwashangaa wana Ilboru kuwa na utamaduni tofauti

Huu upuuzi ulifanya nikeshe kupasua kwa kukariri past papers. Ila mtaani naitwa Engineer halafu pesa mfukoni hakuna zaidi ya kutemelea Prado ya mkopo.

Vipanga wanapatikana Havard na Oxford wanaanzisha makampuni na wanaacha alama kwenye jamii.
😂😂😂
 
Back
Top Bottom