Ilboru Personality. Msije kuwashangaa wana Ilboru kuwa na utamaduni tofauti

Huu upuuzi ulifanya nikeshe kupasua kwa kukariri past papers. Ila mtaani naitwa Engineer halafu pesa mfukoni hakuna zaidi ya kutemelea Prado ya mkopo.

Vipanga wanapatikana Havard na Oxford wanaanzisha makampuni na wanaacha alama kwenye jamii.
😂😂😂
 
Hayo majembe mengine toka shule ianzishwe yameenda wapi..
Majembe au sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…