ILBORU SEC SCHOOL chini ya jeshi la polisi kuanzia muda huu!

ILBORU SEC SCHOOL chini ya jeshi la polisi kuanzia muda huu!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
11,483
Reaction score
3,369
Nipo hapa mtaa wa Ilboru sec school na naona wanafunzi wanatoka na mabegi na naona kuna magari matatu ya polisi na wamejiandaa kwa lolote lile. Ngoja niifuatilie na nitarudi hapa hapa kwa maelezo zaidi.

Sijui ni nini imewasibu hawa wadogo zangu hapa shuleni.
 
huo mgomo tuu! Nakumbka ndanda tulipewa masaa matatu tuu kila mtu asepe daah we achaa.! Polen wana najua hapo wengine wana elfu 10 tuu na home mbali nje ya mkoa
 
Hivi hii nchini inaelekea wapi???
Haipendezi kabisa.. Tena kwa shule ya vipaji maalu.. je hizo zingine zitafanyaje???
:hatari::hatari::hatari:
MAJANGA
 
Kwa haraka haraka mawili matatu niliyopata kwa baadhi ya wanafunzi ni kwamba wamefukuzwa kisa majuzi wanafunzi majira ya saa tatu kasoro usiku walisikia harufu ya petrol kunukia karibu na mabweni yao na walipotaka kujua nani nini chanzo cha petrol kumwagwa kuzunguka shule kwa kweli wamekosa majibu na wao wakaomba ulinzi na wakanyimwa na ndipo wakakesha kwa kuogopa kulala na kesho yake.................!

Ntaendelea muda si mrefu!
 
Wadogo zetu waachwe wasome kwani wana vipaji maalum
 
Imagine, Ni wiki mbili tu kabla ya form 2 kufanya mitihani ya Necta, na form 4 ndo basi tena!
Sijajua Mkuu WA shule hiyo na walimu wenzie wanawaza kwa kutumia Viungo gani VYA mwili!
 
tatizo serikali inajua lakini hawataki kulishughulikia zaidi ya kusubiri mengi amwage misaada na ole medeye ahalikwe kwenye sherehe ya kuhitimu wadogo zetu ili aongee siasa shenzi type.
 
Back
Top Bottom