Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
so ndo unataka tukusifie.! Mbona me nilisimamishwa miez 3 nikapa dv1 pt 4 ya PCB
Nipo hapa mtaa wa Ilboru sec school na naona wanafunzi wanatoka na mabegi na naona kuna magari matatu ya polisi na wamejiandaa kwa lolote lile. Ngoja niifuatilie na nitarudi hapa hapa kwa maelezo zaidi.
Sijui ni nini imewasibu hawa wadogo zangu hapa shuleni.
daahh inasikitisha sana kuondoka shule hasa kipindi hiki
Habari zilizonifikia toka kwa mmoja wa wanafunzi wa shule tajwa hapo juu ni kwamba mkutano umeendelea tangu juzi na mpaka waziri wa elimu na kutaka bodi ya shule iwarudishe wanafunzi wote shuleni mara moja.
Hata leo mkutano huo umeendelea na yote yaliyojiri nitawajuza kwani nafanya mpango wa kukutana na mdau mmoja ambaye ni mmoja kati ya wanabodi wa shule anipe michapo yanayoendelea mpaka leo wanafunzi hawako shuleni.
Ntarudi...............!
huo mgomo tuu! Nakumbka ndanda tulipewa masaa matatu tuu kila mtu asepe daah we achaa.! Polen wana najua hapo wengine wana elfu 10 tuu na home mbali nje ya mkoa
Kwani hujui chanzo? Mbona kipo wazi kuwa baadhi ya wanafunzi walipandisha BENDERA YA CHADEMA shuleni. Na walipotaka wataje, hakuna aliyethubutu hata kwa kutishwa. Ndipo watu wa kazi walipoitwa kuiwasimamia wanafunzi kuondoka.
Mi mbona nilisimamishwa miezi 6 nkapata 1.3 EGM
Mbona mi nilifukuzwa kabisa nikapata 1.3,HKL
Ni hapo hapo Ilboru sec ama ni kwingine?
ILBORU KWISHA KIWANGO CHAKE.