mkuu mbona povu,we avatar yangu umeielewaje. halafu kwa nini unaniwekea kauzibe kwenye mali za mwanaume mwenzangu?Utakuwa una uwalakini wewe si bure kuanzia avatar yako hadi matendo.......kushobokea Mali za mwanaume mwenzio tena marehemu looh.tena unanena kwa msisitizo
Usipende vya bure kakangu,kuhudumia mwanamke kuna raha yake waulize wakubwa zakoni kweli natamani leo kesho waachane nimchukue mimi zari. zile mali za ivan tu ntakula mpaka nakufa
Inaelekea unapenda dy/dx
haaaaa haaaaa haaaaa dada angu kumbe umeniona. nilikuwa nachangamsha tu uzi wa mwana LIKE mwenzangu Numbisa. wala hakuna uhalisia maana hata hao watu siwafuatiliagi,so enjoy my commentsUsipende vya bure kakangu,kuhudumia mwanamke kuna raha yake waulize wakubwa zako
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kama umewakwa na furaha
HeheheHaitusaidii sisi tunaotaka ongezeko la mishahara...
Bro si ungetumia neno ujinga ingetosha!!funza tena?Wabongo tunasafari mdefu sana ya kisafisha funza kichwani mwetu
Tusameane ila ukweli ndo huoBro si ungetumia neno ujinga ingetosha!!funza tena?
Hao ambao hawadumu sio sababu ya ustaa nadhani ni akili yao tu huwa inakuwa mbaya.... Kuna couples zimetulia mpaka unashanga mcheki Will Smith na Jada Pincket au David Beckham na Victoria. Wanao sambaratika ni wale wanaoshindwa kujua kuwa ndoa ni taasisi ya kidemokrasia ambayo inawataka waache waliyokuwa wanayafanya huko pembeni kabla, na waanzishe ya pamoja kama couples. Vinginevyo inakuwa "if you do me, I do you".... Kinachofuata ni kugawana njia, wewe kushoto mimi kulia inabaki historia kwamba " walikuwaga"Aisee tutaona mengi...Kama ni kweli naanza kuiamini ile kauli ya NDOA/MAHUSIANO ya masupastaa HAYADUMU
Kumbe ndio maanaHao ambao hawadumu sio sababu ya ustaa nadhani ni akili yao tu huwa inakuwa mbaya.... Kuna couples zimetulia mpaka unashanga mcheki Will Smith na Jada Pincket au David Beckham na Victoria. Wanao sambaratika ni wale wanaoshindwa kujua kuwa ndoa ni taasisi ya kidemokrasia ambayo inawataka waache waliyokuwa wanayafanya huko pembeni kabla, na waanzishe ya pamoja kama couples. Vinginevyo inakuwa "if you do me, I do you".... Kinachofuata ni kugawana njia, wewe kushoto mimi kulia inabaki historia kwamba " walikuwaga"
Numbisa lakini mbona nilisikia huyu Tahiya ana undugu na Diamond?Inasemekana ule msemo wa chenye mwanzo kina mwisho umetimia kwa hii couple ya diamondplatnumz na zarithebosslady imevunjika rasmi,chanzo cha mvurugiko huo ni usaliti wa diamondplatnmz
Inasemekana Diamondplatnumz kwa sasa anatoka na queen video wake wa kwenye wimbo wa sheriView attachment 602021
View attachment 602027
kama ilivyotokea kwa hamisa kupost picha akiwa kitandani na dai pale madale,huyu queen video pia kaposti picha zake akiwa na dai kitandani madale,View attachment 602022 zari kuona hivyo akaamua kujiweka kando.
Ili kuonyesha hasira zake si ndogo zari kaedit accounts za wanae aliozaa na diamond. Kafuta majina yanayomhusisha diamond
View attachment 602023
View attachment 602024