Ile couple matata kabisa ya Diamond Platnumz na Zarithebosslady imevunjika rasmi

Watz tufanye kazi tuache kupoteza muda kuaghulika na mambo ya watu wengine kwani kuachana nako pia ni kitu cha ajabu maana ss watanzania wote tumekuwa shilawadu tunaacha kutazama maisha yetu tunaangalia maisha ya wengine tubadilike
Wewe ungekuwa huangalii ya watu hili andiko usinge jikunja kuliandika.
 
Laana ya Ivan hiyo inawaandama...!! Hata kama si kweli basi yatatimia siku moja...!!

Malipo ya msaliti huwa yanaanza kulipwa hapa hapa Duniani...!
 
Hahahahaha vilaza aise hahahaha atakuowa wew tayarisha vilainishi .
 


Huu ukuni hauna shukrani huu, sasa we fikiria unaanzaje kumuacha mtoto kama Beyonce kauanika tu nyumbani we ukasake machangudoa? Sasa hayo ndio yaliyomkuta mwanaume mwenzetu Jay Z. Yaani hili rungu ni mtihani mkubwa huu. Tusamehewe tu.
 
Hivi nyie watu wa ajabu mnaojidai hampendi ubuyu huku ubuyuni mmefata nini?eti fanyeni kazi acheni majungu?.?bila ubuyu na Maisha haya ya bongo yalivyo magumu si tutakufa mapema?nyie ndo mlisomaga pcm na pcb
 
Huu ukuni hauna shukrani huu, sasa we fikiria unaanzaje kumuacha mtoto kama Beyonce kauanika tu nyumbani we ukasake machangudoa? Sasa hayo ndio yaliyomkuta mwanaume mwenzetu Jay Z. Yaani hili rungu ni mtihani mkubwa huu. Tusamehewe tu.
Yaaaan uhun auna maana ,,kuna wakati unajikuta unapoteza Dhahabu kimchezo chezo kisa tuuu machangudoa...

Zary kila nikimuangalia ,, daaahhhh huwa naishia kutikisa kichwa .....

Ujue mkuuu kuna wanawake waliumbwa kuongeza idadi yawanawake[emoji23] ila wengine waliumbwa kuja kua wake Wetu [emoji8]
 
HTE="Jembekillo, post: 23777956, member: 61928"]mkuu mbona povu,we avatar yangu umeielewaje. halafu kwa nini unaniwekea kauzibe kwenye mali za mwanaume mwenzangu?[/QUOTE]
Haya mkuu nimeondoa hako kauzibe.......ukizipata usinisahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…