🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mleta mada pole kwa kusifia maiti. MaCHADEMA yamekufa hakuna jipya. Ungesema hata ACT. CCM hoyeee
Nyumbu akiwa kawaida tu anakuwa kama hamnazo, pata picha akichanganyikiwa kabisa kama huyu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mleta mada pole kwa kusifia maiti. MaCHADEMA yamekufa hakuna jipya. Ungesema hata ACT. CCM hoyeee
Wanapenda kumuita kada wao wakizidiwa, lakini hawampendi kwa nini?Ndiyo wimbo wenu huu kila mkizidiwa mnadai Mbowe ni kada wenu.
WAJINGA NDIO WALIWAZA HIVYOHuko nyuma walianza kuonekana kama waganga njaa ambao wanatumia siasa kujinufaisha.
Ndio maana wakiitwa Ikulu wanakimbia kula pilau na juice.
Leo hii wamekomaa na Sakata la Bandari. Wamechambua na kueleza namna huu mkataba haufai. Wananchi wanawaamini kama Wapinga ufisadi
Wamerejesha imani kwa wananchi, japokuwa sio kama enzi zile
Sikujua kuwa hata wewe ni miongoni wa Wajinga kuna siku utasema Kikwete ni CufMbowe ni Kada wa mboga mboga mwaminifu, aendelee kudanganya watu ipo siku itajulikana tu
Wananchi wamekosa mtetezi. Ukiwa ziwani unazama hata akitokea mamba mbele Yako utanyoosha mkono akuopoeHuko nyuma walianza kuonekana kama waganga njaa ambao wanatumia siasa kujinufaisha.
Ndio maana wakiitwa Ikulu wanakimbia kula pilau na juice.
Leo hii wamekomaa na Sakata la Bandari. Wamechambua na kueleza namna huu mkataba haufai. Wananchi wanawaamini kama Wapinga ufisadi
Wamerejesha imani kwa wananchi, japokuwa sio kama enzi zile
Karibu sana kamandaHuko nyuma walianza kuonekana kama waganga njaa ambao wanatumia siasa kujinufaisha.
Ndio maana wakiitwa Ikulu wanakimbia kula pilau na juice.
Leo hii wamekomaa na Sakata la Bandari. Wamechambua na kueleza namna huu mkataba haufai. Wananchi wanawaamini kama Wapinga ufisadi
Wamerejesha imani kwa wananchi, japokuwa sio kama enzi zile
Mkuu tuombe radhi sisi Wamwera kutoka Nanjilinji,tuna piga pesa ya maana sana kupitia zao la ufuta.Hivyo sio washamba kiiivyo [emoji28][emoji28][emoji28]Labda huko kijijini kwenu Nanjilinji, huku duniani chadema inafahamika kama baba wa njaa na inapuuzwa kuliko kawaida.
🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu tuombe radhi sisi Wamwera kutoka Nanjilinji,tuna piga pesa ya maana sana kupitia zao la ufuta.Hivyo sio washamba kiiivyo [emoji28][emoji28][emoji28]