Ile dhana kuwa CHADEMA ni waganga njaa na walamba asali imeyeyuka ghafla. Wanaonekana wanauchungu na rasilimali za taifa lao. Wanaamika japo sio sana

Mleta mada pole kwa kusifia maiti. MaCHADEMA yamekufa hakuna jipya. Ungesema hata ACT. CCM hoyeee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nyumbu akiwa kawaida tu anakuwa kama hamnazo, pata picha akichanganyikiwa kabisa kama huyu!!
 
Huko nyuma walianza kuonekana kama waganga njaa ambao wanatumia siasa kujinufaisha.

Ndio maana wakiitwa Ikulu wanakimbia kula pilau na juice.

Leo hii wamekomaa na Sakata la Bandari. Wamechambua na kueleza namna huu mkataba haufai. Wananchi wanawaamini kama Wapinga ufisadi

Wamerejesha imani kwa wananchi, japokuwa sio kama enzi zile
WAJINGA NDIO WALIWAZA HIVYO
 
Wananchi wamekosa mtetezi. Ukiwa ziwani unazama hata akitokea mamba mbele Yako utanyoosha mkono akuopoe
 
Huko nyuma walianza kuonekana kama waganga njaa ambao wanatumia siasa kujinufaisha.

Ndio maana wakiitwa Ikulu wanakimbia kula pilau na juice.

Leo hii wamekomaa na Sakata la Bandari. Wamechambua na kueleza namna huu mkataba haufai. Wananchi wanawaamini kama Wapinga ufisadi

Wamerejesha imani kwa wananchi, japokuwa sio kama enzi zile
Karibu sana kamanda
 
Labda huko kijijini kwenu Nanjilinji, huku duniani chadema inafahamika kama baba wa njaa na inapuuzwa kuliko kawaida.
Mkuu tuombe radhi sisi Wamwera kutoka Nanjilinji,tuna piga pesa ya maana sana kupitia zao la ufuta.Hivyo sio washamba kiiivyo [emoji28][emoji28][emoji28]
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Usijali mkuu, ilikuwa utani tu......tena kama ni wamwera basi nitaitania sana Nanjilinji sababu ni watani zangu. Lakini pia nasikia kuna wangindo huko, hao pia ni watani zangu.
 
Back
Top Bottom