Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 3,088
- 4,496
Muda ni ukuta, ukipigana nao utaumia mwenyeweHivi Sasa inaarifiwa kuwa ile drama ya "shujaa" inaelekea mwishoni na baadhi ya waigizaji wakuu kwenye hiyo drama wameona isiwe "kesi" kwani watazamaji hawapendi hizo series,ni kama vile kupotezeana muda tu.
Director ashapewa maelekezo na wachora script kwamba asiendelee kuongoza mchezo Ili jambo liishe.
Na hatimaye onesho lijalo huwenda likawa la mwisho, akapita katikati Yao akaenda zake .
Lakini Bahati Mbaya Sana"Ukuta Si Muda"...La Hasha Ukipigana Nao Pia Bado Maumivu Yako Pale Pale Kwa Mwenyewe....Muda ni ukuta, ukipigana nao utaumia mwenyewe
Nazareth kwenye karafuuAkaenda wapi ..?
Basi amezwe nasamaki na wamtafune wakamfanye chakula yaoNazareth kwenye karafuu
Na kuchanganyikiwa kabisa. Alafu ubaya wa mitandao wanaokujua mpaka mabaya yako wanaweza kukuumbua sana maana wanaweza weka ushahidi kamiliTetetetehhh ogopa SANA mitandao HII ni sehemu AMBAYO kiongozi UNAWEZA tukanwa na dereva WAKO hahaha. Utashangaa WATU wanakuchapa MANENO TU MPAKA ukaanza ONGEA PEKE yako
Nitafurahi sana!Hivi Sasa inaarifiwa kuwa ile drama ya "shujaa" inaelekea mwishoni na baadhi ya waigizaji wakuu kwenye hiyo drama wameona isiwe "kesi" kwani watazamaji hawapendi hizo series,ni kama vile kupotezeana muda tu.
Director ashapewa maelekezo na wachora script kwamba asiendelee kuongoza mchezo Ili jambo liishe.
Na hatimaye onesho lijalo huwenda likawa la mwisho, akapita katikati Yao akaenda zake .
Mama Samia Na Jakaya kikwete Forever!Hivi Sasa inaarifiwa kuwa ile drama ya "shujaa" inaelekea mwishoni na baadhi ya waigizaji wakuu kwenye hiyo drama wameona isiwe "kesi" kwani watazamaji hawapendi hizo series,ni kama vile kupotezeana muda tu.
Director ashapewa maelekezo na wachora script kwamba asiendelee kuongoza mchezo Ili jambo liishe.
Na hatimaye onesho lijalo huwenda likawa la mwisho, akapita katikati Yao akaenda zake .
Mbona swali laki lipo rhitoric?Akaenda wapi ..?
Ponsio Pilato KasemaHivi Sasa inaarifiwa kuwa ile drama ya "shujaa" inaelekea mwishoni na baadhi ya waigizaji wakuu kwenye hiyo drama wameona isiwe "kesi" kwani watazamaji hawapendi hizo series,ni kama vile kupotezeana muda tu.
Director ashapewa maelekezo na wachora script kwamba asiendelee kuongoza mchezo Ili jambo liishe.
Na hatimaye onesho lijalo huwenda likawa la mwisho, akapita katikati Yao akaenda zake .
Natamani iwe kweli kabisaMama Samia Na Jakaya kikwete Forever!
Join the movement NOW!
Akaenda kukalia kile kiti kikuuAkaenda wapi ..?
Weee acha tu 😀Tetetetehhh ogopa SANA mitandao HII ni sehemu AMBAYO kiongozi UNAWEZA tukanwa na dereva WAKO hahaha. Utashangaa WATU wanakuchapa MANENO TU MPAKA ukaanza ONGEA PEKE yako