issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 5,850
- 12,742
Ni kwenye zabibu bhnNazareth kwenye karafuu
Ni kwenye zabibu bhnNazareth kwenye karafuu
KwakweliDot ni nyingi sana za kuunganisha lakini zote ziko kwenye flow yenye kuleta maana moja, ngoja tuupe muda nafasi na sisi tutakuwa ni mashuhuda wa haya yote maana yameandikwa na kunenwa 😆
Acha iwe hivyo hatimaye heshima debe itachotwa.Hivi Sasa inaarifiwa kuwa ile drama ya "shujaa" inaelekea mwishoni na baadhi ya waigizaji wakuu kwenye hiyo drama wameona isiwe "kesi" kwani watazamaji hawapendi hizo series,ni kama vile kupotezeana muda tu.
Director ashapewa maelekezo na wachora script kwamba asiendelee kuongoza mchezo Ili jambo liishe.
Na hatimaye onesho lijalo huwenda likawa la mwisho, akapita katikati Yao akaenda zake .
Hivi ule Uzi wa kukimbia kikao nilikutag?😆Kwakweli
Dawa ya Hawa maboss akizingua unamsakua mitandaoni unaweka I'd feki unalianzisha tukana kama mtoto HIVI ashike adabu wanazarau SANA SIJUI wanajikuta WA naniTetetetehhh ogopa SANA mitandao HII ni sehemu AMBAYO kiongozi UNAWEZA tukanwa na dereva WAKO hahaha. Utashangaa WATU wanakuchapa MANENO TU MPAKA ukaanza ONGEA PEKE yako
Upi huo ,mmh sijauona NduguHivi ule Uzi wa kukimbia kikao nilikutag?😆
Subiri niufukueUpi huo ,mmh sijauona Ndugu
Nasubiri piaSubiri niufukue
PoaNasubiri pia
Wametema bungoHivi Sasa inaarifiwa kuwa ile drama ya "shujaa" inaelekea mwishoni na baadhi ya waigizaji wakuu kwenye hiyo drama wameona isiwe "kesi" kwani watazamaji hawapendi hizo series,ni kama vile kupotezeana muda tu.
Director ashapewa maelekezo na wachora script kwamba asiendelee kuongoza mchezo Ili jambo liishe.
Na hatimaye onesho lijalo huwenda likawa la mwisho, akapita katikati Yao akaenda zake .
Huyo mpaka ale kitanzi. Hakuna huruma huruma hapa!Hivi Sasa inaarifiwa kuwa ile drama ya "shujaa" inaelekea mwishoni na baadhi ya waigizaji wakuu kwenye hiyo drama wameona isiwe "kesi" kwani watazamaji hawapendi hizo series,ni kama vile kupotezeana muda tu.
Director ashapewa maelekezo na wachora script kwamba asiendelee kuongoza mchezo Ili jambo liishe.
Na hatimaye onesho lijalo huwenda likawa la mwisho, akapita katikati Yao akaenda zake .
Iishe mana lishachosha watu,Hivi Sasa inaarifiwa kuwa ile drama ya "shujaa" inaelekea mwishoni na baadhi ya waigizaji wakuu kwenye hiyo drama wameona isiwe "kesi" kwani watazamaji hawapendi hizo series,ni kama vile kupotezeana muda tu.
Director ashapewa maelekezo na wachora script kwamba asiendelee kuongoza mchezo Ili jambo liishe.
Na hatimaye onesho lijalo huwenda likawa la mwisho, akapita katikati Yao akaenda zake .
Hebu tupashe na wewe ulizonazoMipasho kwa sasa imeanza kuwa kama kawaida vile
Tunasubiri Muda na saa ifike.Na hatimaye onesho lijalo huwenda likawa la mwisho, akapita katikati Yao akaenda zake .
hadi mwalimu kachokaTunasubiri Muda na saa ifike.