Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
'Akatoka'.Akaenda wapi ..?
'Akatoka'.Akaenda wapi ..?
Kiapo cha maadili hakiruhusu kufanya hilo unalolisema.Na kuchanganyikiwa kabisa. Alafu ubaya wa mitandao wanaokujua mpaka mabaya yako wanaweza kukuumbua sana maana wanaweza weka ushahidi kamili
Mkuu haswaaaaa Kuna akili inaniambia hata mwenda zake mitandao ILI changia Sana kumpa depressionNa kuchanganyikiwa kabisa. Alafu ubaya wa mitandao wanaokujua mpaka mabaya yako wanaweza kukuumbua sana maana wanaweza weka ushahidi kamili
Hatari sanaaWeee acha tu 😀
Sana. Huyu mama anaweza data. Ila itakua poa saana. Hawa watu ni makatili na hawajali maoni/hitaji la wananchi.Mkuu haswaaaaa Kuna akili inaniambia hata mwenda zake mitandao ILI changia Sana kumpa depression
Sawa yangekua yana vuja..? Maadili yanasimama kwenye sheria na haki ikisha kuwa kinyume na sheria na haki nasi hakuna maadili zaidi ya kutoa ushahidi. Ndio maana kuna watu huitwa mashahidiKiapo cha maadili hakiruhusu kufanya hilo unalolisema.
😆😆😆 nakasusa aisee wanawake wasipewe vyeo vikubwa jaman'Akatoka'.
Kiti nacho kikamtoboa makalioAkaenda kukalia kile kiti kikuu
Akaenda oman eti..?Mbona swali laki lipo rhitoric?
Mipasho kwa sasa imeanza kuwa kama kawaida vileHivi Sasa inaarifiwa kuwa ile drama ya "shujaa" inaelekea mwishoni na baadhi ya waigizaji wakuu kwenye hiyo drama wameona isiwe "kesi" kwani watazamaji hawapendi hizo series,ni kama vile kupotezeana muda tu.
Director ashapewa maelekezo na wachora script kwamba asiendelee kuongoza mchezo Ili jambo liishe.
Na hatimaye onesho lijalo huwenda likawa la mwisho, akapita katikati Yao akaenda zake .
Hata wakati wa JPM akiwa tayar yu LUGALO tuliambiwa yupo buheri na anachapa kazi. Hata leo kwamba amekimbia vikao bado yanaitwa uzushi wakati ni kweliHivi Sasa inaarifiwa kuwa ile drama ya "shujaa" inaelekea mwishoni na baadhi ya waigizaji wakuu kwenye hiyo drama wameona isiwe "kesi" kwani watazamaji hawapendi hizo series,ni kama vile kupotezeana muda tu.
Director ashapewa maelekezo na wachora script kwamba asiendelee kuongoza mchezo Ili jambo liishe.
Na hatimaye onesho lijalo huwenda likawa la mwisho, akapita katikati Yao akaenda zake .
Hata pasipo na haki lazima kuwa na kifua cha kutunza siri. Si umeona jana Polepole aliheshimu sheria na maadili ya watumishi wa umma.Sawa yangekua yana vuja..? Maadili yanasimama kwenye sheria na haki ikisha kuwa kinyume na sheria na haki nasi hakuna maadili zaidi ya kutoa ushahidi. Ndio maana kuna watu huitwa mashahidi
Pole pole si fisiemu tu mkuu au unataka upindishe mambo.Hata pasipo na haki lazima kuwa na kifua cha kutunza siri. Si umeona jana Polepole aliheshimu sheria na maadili ya watumishi wa umma.
Hivi Sasa inaarifiwa kuwa ile drama ya "shujaa" inaelekea mwishoni na baadhi ya waigizaji wakuu kwenye hiyo drama wameona isiwe "kesi" kwani watazamaji hawapendi hizo series,ni kama vile kupotezeana muda tu.
Director ashapewa maelekezo na wachora script kwamba asiendelee kuongoza mchezo Ili jambo liishe.
Na hatimaye onesho lijalo huwenda likawa la mwisho, akapita katikati Yao akaenda zake .
Ila huu mwaka🙌🙌😁😁Hivi Sasa inaarifiwa kuwa ile drama ya "shujaa" inaelekea mwishoni na baadhi ya waigizaji wakuu kwenye hiyo drama wameona isiwe "kesi" kwani watazamaji hawapendi hizo series,ni kama vile kupotezeana muda tu.
Director ashapewa maelekezo na wachora script kwamba asiendelee kuongoza mchezo Ili jambo liishe.
Na hatimaye onesho lijalo huwenda likawa la mwisho, akapita katikati Yao akaenda zake .
Series Haina namna ya kuiendelezaPonsio Pilato Kasema
" Sioni hatia juu ya mtu huyu, la ikiwa mtamhukumu damu yake itakuwa juu ya mikono yenu na watoto wenu
Basi ilikuwa yapata saa nane kamili, Pilato akanawa mikono akaenda zake.
Dot ni nyingi sana za kuunganisha lakini zote ziko kwenye flow yenye kuleta maana moja, ngoja tuupe muda nafasi na sisi tutakuwa ni mashuhuda wa haya yote maana yameandikwa na kunenwa 😆Ila huu mwaka🙌🙌😁😁
Afghanistan
Siku zote Muda ni MwalimuMuda utaongea