Ile Drama imeisha. Kuachiliwa hivi karibuni

Mipasho kwa sasa imeanza kuwa kama kawaida vile
 
Hata wakati wa JPM akiwa tayar yu LUGALO tuliambiwa yupo buheri na anachapa kazi. Hata leo kwamba amekimbia vikao bado yanaitwa uzushi wakati ni kweli
 
Sawa yangekua yana vuja..? Maadili yanasimama kwenye sheria na haki ikisha kuwa kinyume na sheria na haki nasi hakuna maadili zaidi ya kutoa ushahidi. Ndio maana kuna watu huitwa mashahidi
Hata pasipo na haki lazima kuwa na kifua cha kutunza siri. Si umeona jana Polepole aliheshimu sheria na maadili ya watumishi wa umma.
 
Ila huu mwakaπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜πŸ˜
Afghanistan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…