Ile Drama imeisha. Kuachiliwa hivi karibuni

Acha iwe hivyo hatimaye heshima debe itachotwa.
 
Tetetetehhh ogopa SANA mitandao HII ni sehemu AMBAYO kiongozi UNAWEZA tukanwa na dereva WAKO hahaha. Utashangaa WATU wanakuchapa MANENO TU MPAKA ukaanza ONGEA PEKE yako
Dawa ya Hawa maboss akizingua unamsakua mitandaoni unaweka I'd feki unalianzisha tukana kama mtoto HIVI ashike adabu wanazarau SANA SIJUI wanajikuta WA nani
 
Wametema bungo
 
Huyo mpaka ale kitanzi. Hakuna huruma huruma hapa!
 
Iishe mana lishachosha watu,
Kushikilia sahani isiyo na wali kwa masaa matatu na wala haujaingia kwenye foleni ya chakula si sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…