Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Baada ya Miaka 16 kupita Toka itoke movie ya Friday 13TH hatimaye Jason anarudi Tena bhana mwaka huu 2025 ๐ lakini arudi pekee yake inakuja na game yake aiseeh.
Habari hiyo iliweza kufichuliwa baada ya mahojiano kufanyika kwenye tamasha la Horror Inc VIP huko San Diego Comic Con Jason universe. Aliweza kuthibitisha kuwa Jason Voorhees anarudi Tena ๐ sio movie TU mpaka kwenye games pia ๐ฏ.
Ingawa tarehe ya kuachiwa hawakutaja lakini wapenzi wa movie za kutisha nazani Friday 13Th mnaijua vizuri Sasa wanarudi Tena Kwa mara nyingine na games yake pia ngoja tuone itakuwaje.