๐—œ๐—น๐—ฒ ๐—ณ๐—ถ๐—น๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—™๐—ฟ๐—ถ๐—ฑ๐—ฎ๐˜† ๐Ÿญ๐Ÿฏ๐˜๐—ต ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐—š๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜€ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—ผ ๐—ฝ๐—ผ๐—ฎ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833


Baada ya Miaka 16 kupita Toka itoke movie ya Friday 13TH hatimaye Jason anarudi Tena bhana mwaka huu 2025 ๐Ÿ‘‹ lakini arudi pekee yake inakuja na game yake aiseeh.



Habari hiyo iliweza kufichuliwa baada ya mahojiano kufanyika kwenye tamasha la Horror Inc VIP huko San Diego Comic Con Jason universe. Aliweza kuthibitisha kuwa Jason Voorhees anarudi Tena ๐Ÿ˜Š sio movie TU mpaka kwenye games pia ๐ŸŽฏ.



Ingawa tarehe ya kuachiwa hawakutaja lakini wapenzi wa movie za kutisha nazani Friday 13Th mnaijua vizuri Sasa wanarudi Tena Kwa mara nyingine na games yake pia ngoja tuone itakuwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ