Kevzy
JF-Expert Member
- May 23, 2026
- 976
- 1,712
Siwezi kulala kama sijanywa kinywaji chenye gas na uzuri kinipalie daah
Yaani watu wajuzi sana aisee yaani maji yanachakatwa yanatiwa gas na ukinywa unapata radha nzuri pamoja na kubeua yaani nna alosto na Ile taste ya gas
Hivi ni gas hii hii kama inayochimbwa mtwara au kama sio Ile huwa wanaizalishaje Ile gas et
Wataniua watengenezaji wa hivi vinywaji wallah