Kevzy
JF-Expert Member
- May 23, 2026
- 976
- 1,712
- Thread starter
- #21
Ukweli ndio huo, soda sio nzuri kabsa Cha ajabu vitu vibaya ndio vitamu Mkuu , kiukweli binafs yangu siwezi kuacha kunywa vinywaji vyenye gas mpaka viniueFar better wine or beer than soda. Beer ni barley inapikwa; wine ni zao la mzabibu purely toka kondeni!
Soda ni makemikali yanachanganywa mnaletewa eti ni kinywaji! Loh.