Ile gas kwenye soda wanaiwekaje? Aisee daah nna alosto na kile kagas wallah daah

Kevzy

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2026
Posts
976
Reaction score
1,712
Siwezi kulala kama sijanywa kinywaji chenye gas na uzuri kinipalie daah

Yaani watu wajuzi sana aisee yaani maji yanachakatwa yanatiwa gas na ukinywa unapata radha nzuri pamoja na kubeua yaani nna alosto na Ile taste ya gas

Hivi ni gas hii hii kama inayochimbwa mtwara au kama sio Ile huwa wanaizalishaje Ile gas et

Wataniua watengenezaji wa hivi vinywaji wallah
 
Miongoni mwa mavitu takataka kuingiza tumboni; yasiyo na faida yoyote zaidi ya uharibifu kiafya ni the so called soda! Achana na hayo makemikali utakuja kunishukuru.
 
Kuna madawa ya kulevya wamechanganya na gas inaleta alosto kwa wateja wake balaa bila nyunga soda ingekua kama juice tu.
Far better wine or beer than soda. Beer ni barley inapikwa; wine ni zao la mzabibu purely toka kondeni!

Soda ni makemikali yanachanganywa mnaletewa eti ni kinywaji! Loh.
 
Far better wine or beer than soda. Beer ni barley inapikwa; wine ni zao la mzabibu purely toka kondeni!

Soda ni makemikali yanachanganywa mnaletewa eti ni kinywaji! Loh.
Ni kama unaniambia tunaletewa kwamba mimi nakunywa soda sio mazee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…