Ukweli ndio huo, soda sio nzuri kabsa Cha ajabu vitu vibaya ndio vitamu Mkuu , kiukweli binafs yangu siwezi kuacha kunywa vinywaji vyenye gas mpaka viniueFar better wine or beer than soda. Beer ni barley inapikwa; wine ni zao la mzabibu purely toka kondeni!
Soda ni makemikali yanachanganywa mnaletewa eti ni kinywaji! Loh.
Bora tunywe tu bia sio?Miongoni mwa mavitu takataka kuingiza tumboni; yasiyo na faida yoyote zaidi ya uharibifu kiafya ni the so called soda! Achana na hayo makemikali utakuja kunishukuru.
Hapa umenenaTutakufa tu Mkuu, tunywe chochote kile , ni kujifeel tu , maisha yenyewe mafupi
Na kweli vitakuja kukuua; actually vimeshaanza kukumaliza taratibu. Ultimately, vitakumalizia kabisa usipoviacha and will be too late. Uchaguzi ni wako mkuu.Ukweli ndio huo, soda sio nzuri kabsa Cha ajabu vitu vibaya ndio vitamu Mkuu , kiukweli binafs yangu siwezi kuacha kunywa vinywaji vyenye gas mpaka viniue
Comparatively yes! Zingatia neno kiasi.Bora tunywe tu bia sio?
Bora tunywe tu bia sio?
Mkuu usipokufa na haya masoda, utakunywa bia umelewa unamrukia Malaya Kwa wenge la bia, kumbe ana ngoma ukafa Kwa ngoma au wenge la pombe ukagongwa na gari ukafa, hauwezi kuulinda ulimwenguNa kweli vitakuja kukuua; actually vimeshaanza kukumaliza taratibu. Ultimately, vitakumalizia kabisa usipoviacha and will be too late. Uchaguzi ni wako mkuu.
Mimi nimezungumzia direct impact ya kinachoingia tumboni. Mambo ya ngoma sijui malaya unapaswa kuwa na self control katika maisha ambayo binadamu yeyote anapaswa kuwa nayo.Tutakufa tu Mkuu, tunywe chochote kile , ni kujifeel tu , maisha yenyewe
Mkuu usipokufa na haya masoda, utakunywa bia umelewa unamrukia Malaya Kwa wenge la bia, kumbe ana ngoma ukafa Kwa ngoma au wenge la pombe ukagongwa na gari ukafa, hauwezi kuulinda ulimwengu
Vipi beer 🍺Miongoni mwa mavitu takataka kuingiza tumboni; yasiyo na faida yoyote zaidi ya uharibifu kiafya ni the so called soda! Achana na hayo makemikali utakuja kunishukuru.
Nimefafanua hapo juu.Vipi beer 🍺
Hahahahaha!Umeenda na simu shule?