Ile hofu miongoni mwa watu inaendelea kuondoka kila siku

Ile hofu miongoni mwa watu inaendelea kuondoka kila siku

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,322
Reaction score
8,412
Kila nikiangalia TUKIO la daktari aliempasua trafiki baada ya kuleta ungese wake, nimekaa nikafikiria sana, naona na wenzake madaktari wanakua kitu kimoja na wanapanga kugoma nchi nzima.

Tanzania inayokuja nimekaa nikaishia KUCHEKA TU mana nakuapia Kuna siku Hawa mnaowaita watekaji mtu atapasuliwa na kufumuliwa ubongo mchana kweupe, na hua najiuliza kwanini hua hawawafati wenye hela labda, wanawavizia Hawa wa chini chini, Sasa hivi sio Jambo la ajabu kupishana na mtu anatembea na MGUU wa kuku...mamaeh...mim mwenyewe NATEMBEA na bisu mamaeh lile la kivita la kijeshi, jilete uone nahakikisha naondoka na moyo nautafuna kabisa...mamaeh...

Hatumtaki kuishi kwenye nchi ambayo inafanya mambo ya kipuuzi halafu tukae kimya, nawaaapia tunzeni hii, hii sio Tanzania ya miaka 60 iliyopita ..na hizi ni mvua tu za rasharasha...sasahivi hata ukitamka neno ccm tu unahofia maisha yako mana watu hata jina lenyewe Lina LAANA kulitamka tu..mamaeh .. .Ibrahim Traore wa Tanzania yupo mahali ipo siku tu.
 
Back
Top Bottom