amini nawaambieni MAKOLO FC kesho mtashangilia magoli mawili ya king mayele na moja la musonda...Walipokea wapinzani wetu Airport, wakawapa mbinu, wakazya uongo wa vyumba vya kubadili nguo, wakavaa jezi zao.
Kale kamvua ka Dar es Salaam kamepanda DreamLiner. Wanako, kapo. Kesho tusubiri matokeo. Lazima wanaSimba tufurahi.
ONYO. TUSIPANGIANE FURAHA WALA CHA KUTUFUHISHA.
ENJOY RESPONSIBLY
View attachment 2643970
Malori yaliyo ibeba ndio hayo hapo. Yametokea hapo msata kilingeni
View attachment 2643975
Tanga ilichukizwa kwa kijana wao, Juma Mgunda, kutukanwa.Sisi wazee wa Tanga tunasema na bado, mlipo tupo. Tunawasubiri na Mkwakwani kwenye FA.
Tunaachaje kushangilia soka maridadi la Ibrahim Benzaza?
Kwani uchawi unapanda ndege ?Walipokea wapinzani wetu Airport, wakawapa mbinu, wakazua uongo wa vyumba vya kubadili nguo, wakavaa jezi zao.
Kale kamvua ka Dar es Salaam kamepanda DreamLiner. Wanako, kapo. Kesho tusubiri matokeo. Lazima wanaSimba tufurahi.
ONYO. TUSIPANGIANE FURAHA WALA CHA KUTUFUHISHA.
ENJOY RESPONSIBLY
View attachment 2643970
Upumbavu tu. Mna Mvua nyie?Walipokea wapinzani wetu Airport, wakawapa mbinu, wakazua uongo wa vyumba vya kubadili nguo, wakavaa jezi zao.