Ile Mvua Yetu wana Simba imeonekana tena huko Algeria, Tushangilie Ushindi

Ile Mvua Yetu wana Simba imeonekana tena huko Algeria, Tushangilie Ushindi

Upumbavu tu. Mna Mvua nyie?
Ndiyo
FB_IMG_1685614255189.jpg
 
Tanga ilichukizwa kwa kijana wao, Juma Mgunda, kutukanwa.

Na kama kawaida ya watu wa Tanga walivyo; Mgunda alijibu kistaarabu utadhani hajachukia vile. Sasa watakula jeuri yao.
Kwahiyo Mgunda ndio mwenye hatma ya yanga leo?🤣🤣
 
Ohooooo HABIB THALATHA BIN THIFULI صيسنينيننينظ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtani nakuona kabisa vile utaadimika jf kwa wiki kadhaa baada ya matokeo kuwa kinyume kabisa na ulivyotarajia.
 
EWE MWANANCHIIIII HAKIKA LEO NI SIKU AMBAYO TUNAENDA KUUDHIHIRISHIA ULIMWENGU KWAMBA YANGA NI KUBWA KIASI GANI NA TUNA UKUBWA KIASI GANI KATIKA SOKA.
NAJUA KUNA WATU HAWATA PENDA HISTORIA TUNAYOENDA KUIANDIKA LEO HII.


NIKUOMBE TU KAMA HUNA USTAHMILIVU NA TIMU YA YANGA USIANGALIE MECHI YA LEO.
MECHI HII NI KWA AJILI YA WABOBEZI WA SOKA.
💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
 
Ujinga tuuu asa mlipata nn , Tanzania hakuna utani wa jadi Bali kuna chuki ya jadi
Tulipata ushindi wa 1 - 2. Chuki ya jadi mnayo nyinyi tangu kitambo. Umesahau jinsi wenzako walivyokuwa wanaenda airport kuwapokea wapinzani wa Simba (umeona mashabiki wa Simba wakifanya hivi?), jinsi Engineer 'Hedhi' Said alivyovaa jezi ya Wasouth Africa waliokuwa wapinzani wetu (umeona kiongozi wa Simba amenunua jezi ya USM Algiers?).
 
Back
Top Bottom