ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Simba bila penalty haishindiNi kweli simba walistahili mkwaju ule wa penati.
Lakini swali fikirishi ni kwa yule mchezaji wa Dodoma jiji ile jinsi alivyoushika ule mpira.
Ni wazi ilionekana ni maksudi alifanya kitendo kile
Swali linakuja
Kwanini aliushika mpira ule kwa kudhamiria ilihali akijua yupo ndani ya box?
Je,si mipango ile?
Penat ya mchongoNi kweli simba walistahili mkwaju ule wa penati.
Lakini swali fikirishi ni kwa yule mchezaji wa Dodoma jiji ile jinsi alivyoushika ule mpira.
Ni wazi ilionekana ni maksudi alifanya kitendo kile
Swali linakuja
Kwanini aliushika mpira ule kwa kudhamiria ilihali akijua yupo ndani ya box?
Je,si mipango ile?
Ndio ni penalti halali iliyotengenezwa makusudi na mchezaji wa Dodoma, kifupi kijana alichoma timu kwa faida yake.Mkono aliuinua na kuushika mpira, ile ni hand to ball kwa kiingereza, ile ni penati halisi bila chenga ndani ya box
Biashara alikula 3 bila na penati Kagere alikosa. Vipi hapo? Huo ni mfano mdogo tu.Simba bila penalty haishindi
Mechi ya biashara vipi?Ulitegemea Makolo ashinde vipi bila penalty au red card?
Kumbuka na goli la Mayele alipewa Pasi na mchezaji wa geita gold mine. Nao ulikuwa mchongo?Ni kweli Simba walistahili mkwaju ule wa penati.
Lakini swali fikirishi ni kwa yule mchezaji wa Dodoma jiji ile jinsi alivyoushika ule mpira.
Ni wazi ilionekana ni maksudi alifanya kitendo kile
Swali linakuja
Kwanini aliushika mpira ule kwa kudhamiria ilihali akijua yupo ndani ya box?
Je,si mipango ile?
Toa goli moja la penalty. Bado itakuwa haishindi?Simba bila penalty haishindi
Utani tag eeeeh 🤣🦁🦁Kumbuka na goli la Mayele alipewa Pasi na mchezaji wa geita gold mine. Nao ulikuwa mchongo?