ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Ni kweli Simba walistahili mkwaju ule wa penati.
Lakini swali fikirishi ni kwa yule mchezaji wa Dodoma jiji ile jinsi alivyoushika ule mpira.
Ni wazi ilionekana ni maksudi alifanya kitendo kile
Swali linakuja
Kwanini aliushika mpira ule kwa kudhamiria ilihali akijua yupo ndani ya box?
Je,si mipango ile?