Ile pesa tunayowapea wanawake baada ya ngono inaitwaje? Nilazima?

Kajeba

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2020
Posts
1,057
Reaction score
2,364
Wakuu
Ni miaka 60 sasa tangu nchi iwe huru na mambo mengi yanabadilika kila uchwao

Kwa sasa hapa bongoland mambo ni tofauti kabisa...man unatongoza mwanamke tena unaweza zungushwa kukubaliwa hasa lakini siku ukakubaliwa hapo jiandae kwa bajeti

Mwanamke hatumii usafiri, unaamua kumfuata aliko unalipia lodge unanunua vinywaji na chakula then unapewa UTELEZI

Muda wa kuondoka pesa inahitajika either kwa kuambiwa direct or kuombwa kwa vitendo na mitego

Nyie watu, hiyo pesa mnayoitaka baada ya game mnaiitaje?
Kwani ni lazima?
Mlikubaliana after game upewe?
 
Ngj waje
 
YA SABUNI
 
Duuu! Umewaza nini ndugu? Nadhani bado hakuna neno maalumu kwa ajili ya malipo haya so unayo nafasi ya kuunda neno litakalotumika kwa malipo haya yasiyo halali! Wenyewe huwa wanajisifu baada ya malipo kuwa wametuchuna! Nashauri neno utakalounda litokane na neno chuna! Zaidi sana nashauri tuache kununua huduma hii badala yake tuoe ili tuondokane na biashara hii haramu ya uzinzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…