Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Compensation
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaio ni mshahara huo sio?? Na ukute ww ndo ulikua unaangaika mpk majasho af mwenzko kalala tuHata Kama NI mke umeoa.
Kodi ya meza utatoa tu.
binafsi Kama Sina hela siwezi kuita mwanamke.
yaani aje alafu aondoke mikono mitupu siwezi KABISA.
Sio mshahara Ila NI HESHIMA.Kwaio ni mshahara huo sio?? Na ukute ww ndo ulikua unaangaika mpk majasho af mwenzko kalala tu
Mbususu Depreciation Charges.Duuu! Umewaza nini ndugu? Nadhani bado hakuna neno maalumu kwa ajili ya malipo haya so unayo nafasi ya kuunda neno litakalotumika kwa malipo haya yasiyo halali! Wenyewe huwa wanajisifu baada ya malipo kuwa wametuchuna! Nashauri neno utakalounda litokane na neno chuna! Zaidi sana nashauri tuache kununua huduma hii badala yake tuoe ili tuondokane na biashara hii haramu ya uzinzi!
Posho ya Uchakavu 😅Inaitwa posho
Siyo lazima ni muhimu
Wamezigeuza kitega uchumiHivi haiwezekani bila ile posho eti?
Usipopewa unajisikiajerefreshments
Usipopewa unajisikiajeInaitwa posho
Siyo lazima ni muhimu
Natamani ningekuwa hako katoto60 yrs of Tanganyika Independence View attachment 2038954
cha hao wanaume wenyewe wa kutoa hela wako wapi? waiUsipopewa unajisikiaje
Nipo hapa..natoa lakini kwa masikitikocha hao wanaume wenyewe wa kutoa hela wako wapi? wai
Najisikia vizuri tu mbona raha tunapata woteUsipopewa unajisikiaje