balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,841
- 15,673
Waadventist wanatafsiri ya baadhi ya maandiko hasa kitabu cha ufunuo kwamba ,taifa kubwa kabisa litaungana na kanisa kubwa kusimika utawala wa mpinga kristo.
Juzi kuna picha ya kiongozi mmoja amevaa viwalo vya Papa na leo papa kachaguliwa kutoka taifa hilo.Je,ni coincidence ama ndo yanatimia kama yalivyotafsiriwa na wasabato?