balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,841
- 15,673
Acheni kukuza mambo Trump ndio Rais pekee anaepinga Ushoga na kumsemea mambo ambayo hayaendani na biblia leoo vipi awe mpinga kristoWaadventist wanatafsiri ya baadhi ya maandiko hasa kitabu cha ufunuo kwamba ,taifa kubwa kabisa litaungana na kanisa kubwa kusimika utawala wa mpinga kristo.Juzi kuna picha ya kiongozi mmoja amevaa viwalo vya Papa na leo papa kachaguliwa kutoka taifa hilo.Je,ni coincidence ama ndo yanatimia kama yalivyotafsiriwa na wasaato?
aKanisa Katoliki haliyumbishwi na ramli na upuuzi wa wasabato hata siku moja. Kaa ukijua hilo. Yote yanayokuja ni Mungu tu.
Una uhakika?Acheni kukuza mambo Trump ndio Rais pekee anaepinga Ushoga na kumsemea mambo ambayo hayaendani na biblia leoo vipi awe mpinga kristo
Ilishapangwa tayari sababu alishasema anataka awe yeye kisha akasema anataka atoke kwakeWaadventist wanatafsiri ya baadhi ya maandiko hasa kitabu cha ufunuo kwamba ,taifa kubwa kabisa litaungana na kanisa kubwa kusimika utawala wa mpinga kristo.
Juzi kuna picha ya kiongozi mmoja amevaa viwalo vya Papa na leo papa kachaguliwa kutoka taifa hilo.Je,ni coincidence ama ndo yanatimia kama yalivyotafsiriwa na wasabato?
Je huwa kuna kura kweli au kuna kikundi huwa wana papa wao walisha mpoint kabla ya uchanguzi?Waadventist wanatafsiri ya baadhi ya maandiko hasa kitabu cha ufunuo kwamba ,taifa kubwa kabisa litaungana na kanisa kubwa kusimika utawala wa mpinga kristo.
Juzi kuna picha ya kiongozi mmoja amevaa viwalo vya Papa na leo papa kachaguliwa kutoka taifa hilo.Je,ni coincidence ama ndo yanatimia kama yalivyotafsiriwa na wasabato?