Ile Power Breakfast ya Akina Babra Hassan na Masoud ilikuwa ya moto sana

Ile Power Breakfast ya Akina Babra Hassan na Masoud ilikuwa ya moto sana

Hata ile ya Masoud na Siza.. naya ilikuwa ya moto sana.

Sema clouds kwenye power breakfast wapo vizuri sana.

Kwa sasa Sam Sasali anaibeba pamoja na yule Bonge bonge mwenye sauti yake. Akiendelea kuindoa woga anapiga sana spana.
 
Basi ikifika segimenti ya Bonge utasikia ka Brabra Boonji...then wanataniana hapo aah uendaji kazini unakuwa muruua kabisa hata foleni huioni!!! Gone are the good days!

Naunga mkono hoja kwa 100%. Hawa waliopo Sasa hivi sijui Khana, fahani na Nasma hawajaweza kuvaa viatu vya kina Masoud, Babra na Siza.

Hichi kipindi kwa sasa jembe aliyobaki ni Sam Sassali. Wengine wanataka taja Kila wakati Mimi mzaramo, sijui Mimi natoka Morogoro, etc hata maswali wanayouliza yamejaa Udaku zaidi kuliko hata kudadisi kwa kina mambo husika
 
Sasali anasikilizika, ana logic fulani hivi
 
Sasali anasikilizika, ana logic fulani hivi
Hilo ndilo jembe pekee aliyobaki katika HICHO kipindi.

Marehemu Ruge alikuwa anajua Sana kufanya recruitment na mentorship kwa vijana wanaochipukia wanazotaka kuwa watangazaji.

Ila huyu aliyembadili Ruge naona amepwaya Sana tena Sana, Radio inaenda kumfia mmiliki ni suala la muda tu
 
Isingekuwa upuuzi wa JAB clouds isingewatema wale wajuba. Hii fani ni ya vipaji na ubunifu, si ya mashahada yanayotakiwa na JAB. Maadili ndiyo yanayotakiwa, the rest is upuuzi na ujinga!, unaondoaje watu wenye potential kubwa kama wale kazini?
 
Back
Top Bottom