figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Itakuwa damu za watu hizoIle shahada yagoma kukaa Kichwani mwa Samia, Yadondoka Chini. Warusi Waduwaa.. Haijawahi kutokea tangu Dunia kuumbwa.. Kofia imejua imengia kichwa fake? Sababu alikua anahema juu juu kama Kiboko🤣
Samia kubali Elimu imekukataa.. Naona wamelazimisha kukuvika..
Aibu sana umewatia Wazanzibar... Kuanzia kulazimisha ushindi wa Uchaguzi wa 2025 hadi kulazimisha kofia ya Shahada ikae kichwani. Vradmiri Putin anajuta kukutana nawe. Si iwa aibu hii.. Na mbwembwe zote kichwa kimekataa🤣🤣
Kwa jinsi aibu ilivyo kubwa duniani, Ikulu mawasiliano wamekata kipande shahada inagoma..🤣🤣
Aibu sanaaa.. 🤣🤣🤣
View attachment 3601238
Anayejiita Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) jijini Moscow, tarehe 4 Juni, 2026. Inadaiwa ni Shahada ya kununua ili kuonesha anakubalika Urusi
ile ni Astashahada ileIle shahada yagoma kukaa Kichwani mwa Samia, Yadondoka Chini. Warusi Waduwaa.. Haijawahi kutokea tangu Dunia kuumbwa.. Kofia imejua imengia kichwa fake? Sababu alikua anahema juu juu kama Kiboko🤣
Samia kubali Elimu imekukataa.. Naona wamelazimisha kukuvika..
Aibu sana umewatia Wazanzibar... Kuanzia kulazimisha ushindi wa Uchaguzi wa 2025 hadi kulazimisha kofia ya Shahada ikae kichwani. Vradmiri Putin anajuta kukutana nawe. Si iwa aibu hii.. Na mbwembwe zote kichwa kimekataa🤣🤣
Kwa jinsi aibu ilivyo kubwa duniani, Ikulu mawasiliano wamekata kipande shahada inagoma..🤣🤣
Aibu sanaaa.. 🤣🤣🤣
View attachment 3601238
Anayejiita Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) jijini Moscow, tarehe 4 Juni, 2026. Inadaiwa ni Shahada ya kununua ili kuonesha anakubalika Urusi
Duh,Yadondoka Chini. Warusi Waduwaa.. Haijawahi kutokea tangu Dunia kuumbwa.. Kofia imejua imengia kichwa fake?
Ile shahada yagoma kukaa Kichwani mwa Samia, Yadondoka Chini. Warusi Waduwaa.. Haijawahi kutokea tangu Dunia kuumbwa.. Kofia imejua imengia kichwa fake? Sababu alikua anahema juu juu kama Kiboko🤣
Samia kubali Elimu imekukataa.. Naona wamelazimisha kukuvika..
Aibu sana umewatia Wazanzibar... Kuanzia kulazimisha ushindi wa Uchaguzi wa 2025 hadi kulazimisha kofia ya Shahada ikae kichwani. Vradmiri Putin anajuta kukutana nawe. Si iwa aibu hii.. Na mbwembwe zote kichwa kimekataa🤣🤣
Kwa jinsi aibu ilivyo kubwa duniani, Ikulu mawasiliano wamekata kipande shahada inagoma..🤣🤣
Aibu sanaaa.. 🤣🤣🤣
View attachment 3601238
Anayejiita Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) jijini Moscow, tarehe 4 Juni, 2026. Inadaiwa ni Shahada ya kununua ili kuonesha anakubalika Urusi
MbalimbaliYaani elimu za mbalimbali
Kwani nani kakuambia ni habari?Jamani, kwamba hiyo nayo ni habari sana, ahahaaaaaaaaa
Kalia cylinder kama hupend ulichokionaJamani, kwamba hiyo nayo ni habari sana, ahahaaaaaaaaa
Hiyo ni habari kubwa. Lakini kwako wewe mwenye akili ndogo zisizoweza kuchunguza kila jambo na kulipa tafsiri sahihi ya maana yake HUWEZI kuelewa, utaona ni jambo la kawaida tu kama kudondosha tonge la ugali wa mchuzi wa samaki😀...Jamani, kwamba hiyo nayo ni habari sana, ahahaaaaaaaaa