Ile shahada yagoma kukaa Kichwani kwa Samia Suluhu, Yadondoka Chini. Warusi Waduwaa🤣🤣

Ile shahada yagoma kukaa Kichwani kwa Samia Suluhu, Yadondoka Chini. Warusi Waduwaa🤣🤣

Hiyo ni habari kubwa. Lakini kwako wewe mwenye akili ndogo zisizoweza kuchunguza kila jambo na kulipa tafsiri sahihi ya maana yake HUWEZI kuelewa, utaona ni jambo la kawaida tu kama kudondosha tonge la ugali wa mchuzi wa samaki😀...

Kuvikwa kofia maalumu kichwani ni ISHARA ya kupewa mamlaka..

Inapokataa kukaa mahali pake, kinyume chake ni ISHARA kuwa mamlaka yake kama Rais wa Tanzania imeanguka tena imeangukia mashariki ya mbali Urusi kwa sbb kinachofanyila ni ulaghai na uefedhuli tu..!!!

Unaweza kusema, mbona imeokotwa na akavikwa tena na ikakaa vizuri tu...

Sikiliza bhana. ,Mungu Yehova atoaye mamlaka kwa mtu fulani ili atawale watu wake kwa niaba yake, huwa hakosei...

Kitendo cha kofia hiyo kukataa kukaa kichwani hadi ikarudiwa mara ya pili ni ujumbe wa Mungu kuwa "nimekukataa" lakini kwa uanadamu wako unajilazimisha kutawala watu wangu...!

Mungu katumia ishara ya alama ya kofia ya kinachoitwa shahada kumbe ni ulaghai tu kukataa kukaa kichwani ili kutoa ujumbe rahisi sana kwake...

Lakini Samia Suluhu Hassan na wahuni wenzake ni sawa na Balaamu ambaye Mungu alifungua kinywa cha punda, kikazungumza kama binadamu ili kumpa onyo Balaamu asiendelee na safari ikikuyokuwa batili na isiyo na baraka za Mungu Yehova...

Lakini nabii Balaamu kwa jinsi ambavyo akili na mwenendo wake ulivyokuwa corrupt kiasi cha kuwa beyond repairable, hakuelewa wala hata kushangaa iweje punda ambaye humbeba kila siku leo agome kwenda mbele na kumsemesha mithili ya binadamu..

Ndivyo mlivyo nyie leo na Samia wenu. You never understand simple message..

Think twice
Umefafanua vizur sana, ila tu pale unapotoa hukumu kwa kumuita mtu usiyemfahamu kuwa mwenye akili ndogo, dah kama vile hadi unamkosea muumba wako aliyemuumba mtu huyo. Ila haina shida, nayaheshimu mawazo yako, uzuri Mwenyezi Mungu aliyeniumba ndio ananifahamu zaidi na watu ninaofahamiana nao walau, otherwise endelea kuwaza hivyo, sio issue sana kwangu
 
Ifike mahali Raisi wetu sasa akatae hizo Shahada:
Mbona Maraisi Wazungu sioni wakivikwavikwa hizo Shahada?
Zina msaada Gani kwa Taifa?
Mi Naona kama wanatusanifu watu weusi:
 
Inadaiwa ndiyo chuo maarufu Duniani kwa biashara ya kuuza degree kwa wanasiasa na matajiri wa Afrika. Degree za hicho chuo hazina uhusiano na elimu ya mtu, ni biashara.

Ukisoma hicho chuo, sahau masuala ya ajira kwente nchi za Magharibi kwa sababu waajiri wanakuwa hawana uhakika kama degree yako umepata kwa kusomea au kwa kununua.
Ndugu dalali nahitaji degree ya hesabu na physics.
 
Ile shahada yagoma kukaa Kichwani mwa Samia, Yadondoka Chini. Warusi Waduwaa.. Haijawahi kutokea tangu Dunia kuumbwa.. Kofia imejua imengia kichwa fake? Sababu alikua anahema juu juu kama Kiboko🤣

Samia kubali Elimu imekukataa.. Naona wamelazimisha kukuvika..

Aibu sana umewatia Wazanzibar... Kuanzia kulazimisha ushindi wa Uchaguzi wa 2025 hadi kulazimisha kofia ya Shahada ikae kichwani. Vradmiri Putin anajuta kukutana nawe. Si iwa aibu hii.. Na mbwembwe zote kichwa kimekataa🤣🤣

Kwa jinsi aibu ilivyo kubwa duniani, Ikulu mawasiliano wamekata kipande shahada inagoma..🤣🤣

Aibu sanaaa.. 🤣🤣🤣
View attachment 3601238
Anayejiita Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) jijini Moscow, tarehe 4 Juni, 2026. Inadaiwa ni Shahada ya kununua ili kuonesha anakubalika Urusi
View attachment 3601304
Laaanaa hiyoooo
 
Back
Top Bottom