Ile shahada yagoma kukaa Kichwani kwa Samia Suluhu, Yadondoka Chini. Warusi Waduwaa🤣🤣

Umefafanua vizur sana, ila tu pale unapotoa hukumu kwa kumuita mtu usiyemfahamu kuwa mwenye akili ndogo, dah kama vile hadi unamkosea muumba wako aliyemuumba mtu huyo. Ila haina shida, nayaheshimu mawazo yako, uzuri Mwenyezi Mungu aliyeniumba ndio ananifahamu zaidi na watu ninaofahamiana nao walau, otherwise endelea kuwaza hivyo, sio issue sana kwangu
 
Ifike mahali Raisi wetu sasa akatae hizo Shahada:
Mbona Maraisi Wazungu sioni wakivikwavikwa hizo Shahada?
Zina msaada Gani kwa Taifa?
Mi Naona kama wanatusanifu watu weusi:
 
Ndugu dalali nahitaji degree ya hesabu na physics.
 
Laaanaa hiyoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…