Ile siku ya majonzi na vimbwanga kwa kada dhoofu ualimu imefika

Kachina95

Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
62
Reaction score
211
Ile siku ya majonzi na vimbwanga kwa kada dhoofu ualimu imefika.

Waalimu watasombwa kama mihogo wakiwa na matishirt yao ya CWT wakiwa wamepauka na kukomdeana, wataandaliwa lisala ya kumsifia mama weeee!

Baada ya hapo watarudishwa kwao wakiwa wamejazwa kwenye malori kama matahila.
Mwendo ule ule;

1. Kamshahara kaduchu,
2. Hakuna posho yoyote kwa mwezi mzima ya kumfanya mwalimu angalau aishi kwa staha.
3. Wataendelea kuambiwa wafanye kazi kwa kujitolea,ualimu ni wito!
4. Wakistaafu wanakutana na kikokotoo wanaugua pressure wanakufa.

UALIMU HAPA Tanzania NI UJINGA
 
Hii kada imelaaniwa. Nafikiri miongoni mwa kada dhaifu na isiyojitambua hii ni nambari one.

Nashukuru ukoo mzima hakuna aliyepo kwenye kada hii sijui walishtukia nini.
 
Acha kusharau kazi za watu mkuu. Ungejua walimu wanalipwa mshahara mkubwa kuliko wafanyakazi wengi tu, hungesema.
Mshahara mkubwa?

Lete takwimu ya mshahara ya mwalimu wa diploma ama degree tulinganishe na na mshahara wa kada nyingine kwa level hiyo hiyo ya elimu.
 
Ile siku ya majonzi na vimbwanga kwa kada dhoofu ualimu imefika.

Waalimu watasombwa kama mihogo wakiwa na matishirt yao ya CWT wakiwa wamepauka na kukomdeana, wataandaliwa lisala ya kumsifia mama weeee!

Baada ya hapo watarudishwa kwao wakiwa wamejazwa kwenye malori kama matahila.
Mwendo ule ule;

1. Kamshahara kaduchu,
2. Hakuna posho yoyote kwa mwezi mzima ya kumfanya mwalimu angalau aishi kwa staha.
3. Wataendelea kuambiwa wafanye kazi kwa kujitolea,ualimu ni wito!
4. Wakistaafu wanakutana na kikokotoo wanaugua pressure wanakufa.

UALIMU HAPA Tanzania NI UJINGA
Watapigwa ahadi na kuachwa hewani kama kawaida yao
 
Fanya uchunguzi kama niliofanya, sitaki watu wavivu.
Hujui ulisemalo wewe ndiyo maana unajisemesha tu pasipo kuja na data halisi.

Hii kada ndiyo yenye mishahara duni kupita kada nyingine yoyote ndiyo maana wanaishi maishi ya kudhalilika mtaani na kukopa kila duka mtaani.

Mbona ni simple logic tu wanaishi maisha magumu kwasababu walishaambiwa kazi wanayoifanya ni ya wito sio ya kutafuta maslahi.

Pia hawana posho yoyote rasmi kama ilivyo kada zingine ambazo wana posho na marupurupu mengine.
 
We kenge mtoa mada uwe unaangalia na mishahara ya kada nyingine.
 
Attachments

  • 32-82925bad45.jpg
    32-82925bad45.jpg
    101.5 KB · Views: 36
Hii kada imelaaniwa. Nafikiri miongoni mwa kada dhaifu na isiyojitambua hii ni nambari one.

Nashukuru ukoo mzima hakuna aliyepo kwenye kada hii sijui walishtukia nini.
Cha ajabu unaweza Kuta wapo walimu wenye maisha bora kuliko wewe
 
Hujui ulisemalo wewe ndiyo maana unajisemesha tu pasipo kuja na data halisi.

Hii kada ndiyo yenye mishahara duni kupita kada nyingine yoyote ndiyo maana wanaishi maishi ya kudhalilika mtaani na kukopa kila duka mtaani.

Mbona ni simple logic tu wanaishi maisha magumu kwasababu walishaambiwa kazi wanayoifanya ni ya wito sio ya kutafuta maslahi.

Pia hawana posho yoyote rasmi kama ilivyo kada zingine ambazo wana posho na marupurupu mengine.
We hujielewi
 
We hujielewi
Tunao marafiki zetu wapo huko wanalalamika ugumu wa maisha wanaokumbana nao kwasababu ya maslahi madogo.

Haya nipe data posho na marupurupu rasmi wanayopokea walimu kama ilivyo kwa kada zingine ambapo kuna usafiri, maji, nyumba, chakula, safari za vikao nakadhalika.
 
Back
Top Bottom