Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka picha tuchangieIle sketi kiboko, Yani sikuielewa design imejikunja, design imejibinua na sijui alikua hajanyoosha hata Nguo zenyewe, maana mhh ile Ni mpya akachapa na Viatu vya njano sijui bluu kweli tulipeleka kituko huko alikua vichekesho tu.
Hamna kitu huwa inafanywa halafu isiwe na faida kwa watayarishaji wanawakula mbunye kamulize Hashim LundengaHili shindano.wanaolidhamini sijui wanafaidika nn maana halina faida yoyote. Au huwa wanakula mbunye nini?
Ni kuyadhalilisha tu mabinti yetu nayo kwa tamaa basi yanaliwa tuHamna kitu huwa inafanywa halafu isiwe na faida kwa watayarishaji wanawakula mbunye kamulize Hashim Lundenga
Yule ni miss au binti wa kawaida tu? Mmfyyuuu!!Ile sketi kiboko, Yani sikuielewa design imejikunja, design imejibinua na sijui alikua hajanyoosha hata Nguo zenyewe, maana mhh ile Ni mpya akachapa na Viatu vya njano sijui bluu kweli tulipeleka kituko huko alikua vichekesho tu.