miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Nadhani hawakumfundisha namna ya kuongea hasa kwenye media .. me sijamfurahia kabisaAfu hata etiquette ya kuongea hana.
Anaongea kama anachamba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani hawakumfundisha namna ya kuongea hasa kwenye media .. me sijamfurahia kabisaAfu hata etiquette ya kuongea hana.
Anaongea kama anachamba.
Ma models wengi wanakuwaga na tatizo la Aneroxia. It can be aneroxia bulimia or aneroxia nervosa.Af kama anautapiamlo Iv....
Nadhani hawakumfundisha namna ya kuongea hasa kwenye media .. me sijamfurahia kabisa
Duuuuuu,hatari saana.Mimi najua kwenye vigodoro wengi wanavaa magauni moja hivi hayana shape nzuri kama kanzu vile aaaah wanaita madela na siyo sketiYaani Diana Kwa mavazi Yale? Ni aibu kwa Taifa, utasema ametoka kusindikiza kigodoro mtaa wa pili
Kwa taarifa yako wapo wanaovaa zaidi ya vijora a.k.a DelaDuuuuuu,hatari saana.Mimi najua kwenye vigodoro wengi wanavaa magauni moja hivi hayana shape nzuri kama kanzu vile aaaah wanaita madela na siyo sketi
Mmmh,haya bwana.Kwa taarifa yako wapo wanaovaa zaidi ya vijora a.k.a Dela
Ina marinda.....View attachment 449376kasketi hako wakuu ,labda aliamua kuvaa kiasili tuu