Ilemela, Mwanza: Afisa mtendaji kata ya Pasiyansi alalamikiwa na wataalamu

Hivi hawa maafisa..kilimo na mifugo ambao wapo mijini hususani kwenye kata za majiji..unakuta kata kama k.koo eti kuna afisa kilimo na mifugo..kazi yake nini au ndio kula mishahara ya bure.

Hawa wataalamu wa aina hii wakae huko mashambani kata za vijijini wilayani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thread yako inaonesha wazi ni mtumishi usiokuwa na maadili.Kazi Majungu tu
Kwani wewe hutaki asaidiwe ili awe mtumishi mzuri?Wewe ni boss wake?Halafu ni ujinga kufikiri kwa namna ileile moja kwamba anaeweza kusema kero za watumishi ni lazima awe mtumishi, very stupid.Tuko kwenye jamii,usipojenga nidhamu ya kujikosoa na kukosoana kwa nidhamu unakuwa mtumwa jjam
 
Kuna malalamiko kutoka kwa wataalamu wa kata ya Pasiyansi Ilemela Mwanza,kuhusu afisa mtendaji kata anaitwa Betty,alihamishwa kutoka kata ya Nyamanoro kuja Pasiyansi.

Alikotoka wataalamu wote chini yake walikuwa wanawake na alipohamishiwa(Pasiansi)pia wataalamu wote ni wanawake.

Hakuna gender balance,taarifa zilizopo ni mpango mkakati wa kuwamonopoly wataalamu hao wa kike,na ameshagombana nao wote mpaka sasa.

Zipo taarifa kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na afisa utumishi wa Ilemela hivyo kutumia nafasi yake kwa maslahi ya uhusiano wao.

Mtaalamu wa mifugo alikuwa anaumwa akihisi ni maleria akamuomba ruhusu kwenda hospitali, mtendaji alimjibu bila hiana "maleria itakucost".

Yeye ni mchelewaji sana na sio mtu wa kukaa ofisini, lakini analazimisha wataalamu wabaki ofisini na hata wenye kazi za field zaidi anawalazimisha wabaki ofisini.

Mkurugenzi wa Ilemela najua hapa JF taarifa zinafika mpaka kwa DSO,mkuu wa wilaya nk,baba huyu mtendaji amekuwa na vitisho kwa watendaji,kiburi na haonyeshi sifa kama kiungo muhimu kwa kata,ana mgogoro pia na Diwani wa kata usioisha.

Nafikiri ni vizuri asaidiwe
anaharibu civil servant.
Ni Afisa mtendaji wa Kata?!,Kama ni kweli ni Afisa Mtendaji mbona Afisa Utumishi (W) ni Boss wake?!
 
Hawakawiaga kujiita kitengo
 
Back
Top Bottom