Ilemela, Mwanza: Afisa mtendaji kata ya Pasiyansi alalamikiwa na wataalamu

Hivi hawa maafisa..kilimo na mifugo ambao wapo mijini hususani kwenye kata za majiji..unakuta kata kama k.koo eti kuna afisa kilimo na mifugo..kazi yake nini au ndio kula mishahara ya bure.

Hawa wataalamu wa aina hii wakae huko mashambani kata za vijijini wilayani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thread yako inaonesha wazi ni mtumishi usiokuwa na maadili.Kazi Majungu tu
 
Ni Afisa mtendaji wa Kata?!,Kama ni kweli ni Afisa Mtendaji mbona Afisa Utumishi (W) ni Boss wake?!
 
Hawakawiaga kujiita kitengo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…