Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Kama itatokea mtu mwenye nguvu na ushawishi ndani ya CCM na akaamua kuhamia Chadema kumchallange Mh Samia, itakuwa rahisi zaidi kwa Chadema kuchukua nchi kuliko kumsimamisha Tundu Lisu .
Huyu mtu kwanza ataondoka na idadi kubwa ya wanachama wa CCM ukijumlisha na wale wa Chadema ushindani utakuwa mkubwa zaidi.
Binafsi kwa ninavyoona Samia hana nguvu sana ya ushawishi ndani ya chama na nina imani kubwa kuna miamba ina nguvu ya ushawishi sana chamani na nje ya chama hivyo ni rahisi sana kumchallange Mh Samia.