Ccm ndiyo itaimaliza ccm,
Kutoka mtu ccm kwenda chadema ina faida na hasara,kwanza itaashiria udhaifu ndani ya chadema na upinzani kwa ujumla kwa kukosa mtu mwenye ushawishi kwa raia kitu ambacho sioni kama ni kweli anakosekana mtu,
Pili faida inayoweza kupatikana ni kurudi kwa upinzani katika bunge,hapa itawin viti kadhaa hata kama si kwa asilimia zaidi ya 50 lakini uwakilishi utakuwepo
Mbali na hayo bado chadema na upinzani kwa kipindi hiki nafasi ya kurudi bungeni ipo,tiwaamini na tuwape nafasi walioaminiwa na chama kugombea nafasi hizo,
Maendeleo ni risk kama risk nyingine,wanaobashiri wanaelewa