Ili dodoma iondokane na laana......................... ..

mmh!ving'hawe?.......ok,asante sana.

ni vine high way mgogo alishindwa kuitamka kizungu. Huko kuna ushenz.i wa kila aina ya tabia kuna wavuta bange, vibaka na ngono watoto wanaanza at 10yrs halafu kuna ukimwi huko mitaa ya hazina kuelekea namba30 vibaya sana. Sehemu iliyotulia mpwapwa ni mji mpya na kikombo
 
duh...ngoja Husninyo aje atuhakikishie,me nnavojua mpwapwa yote imeharibika,kaulizie chumba gesti mida ya mchana hupati!(hivi Hafunsi bado ipo?)bora mwanakianga
 
Wagogo wote wa Ihumwa na Ng'ong'ona wahamishiwe Masaki DSM waje kula goodtime
 
duh...ngoja Husninyo aje atuhakikishie,me nnavojua mpwapwa yote imeharibika,kaulizie chumba gesti mida ya mchana hupati!(hivi Hafunsi bado ipo?)bora mwanakianga

nilipita huko miaka mingi sana kikazi, daa lakini kweli ule mji haufai pale si mahala pa kwenda kuokota mwanamke kila baada ya hatua 20 unakutana na mpira wa kiume used. Mwana k wote michaluko halafu wapo kama wehu fulani hivi
 
Mkuu kumbuka hii in post ya March 19, 2012. Hata Mimi nimeshangaa kuona umeni-quote. Daahh! kitambo sana mwaka Wa saba sasa.
Hahahaaa mkuu tushukuru tu wazima asee,ujue huu uzi nilianzisha mimi kwa id hiyo ila kilichotokea nilisahau password ikabidi nifungue id hii mpya
 
Back
Top Bottom